House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

Kila la heri ndugu yangu, miaka 10 ilihopita niliuza nyumba yangu kwa 25m.

Kiwanja cha hiyo Nyumba kilikuwa 20m cash nilinunua, na nyumba ilikuwa lenter, zipo 2.

Thamani yake halisi ilikuwa 40m, bila masihara, ulikuwa wakati mgumu sana kwangu.

Kila nikiona Nyumba inauzwa inanikumbusha kwamba kuna nyakati kwenye maisha zilikuwa ngumu.
 
Dah kweli mkuu,ndio changamoto za maisha,pole sana
 
Kutoka kibaha town,/picha ya ndege mpaka ufike visiga ni km ngapi wakuu?
 
Wazee mwendokasi inafika Kibaha stendi mpya. Changamkieni huu mjengo.
Binafsi nakaa maeneo ya Visiga. Kuna amani Sana hasa siku za weekend, maji ya kumwaga, umeme haukatiki kwasababu huku Kuna viwanda, hakuna kelele za bar Wala vyangudoa.
Najivunia kuishi Visiga japo ofisi iko Morocco.
 
Back
Top Bottom