Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
- Thread starter
- #41
Hakika mkuu,hewa nzuri,hakuna fujo nyingi,pametulia,ukiwa na muda siku ,tutafune mkuuWazee mwendokasi inafika Kibaha stendi mpya. Changamkieni huu mjengo.
Binafsi nakaa maeneo ya Visiga. Kuna amani Sana hasa siku za weekend, maji ya kumwaga, umeme haukatiki kwasababu huku Kuna viwanda, hakuna kelele za bar Wala vyangudoa.
Najivunia kuishi Visiga japo ofisi iko Morocco.