Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
- Thread starter
- #21
KaribuAhsante kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuAhsante kwa taarifa...
Mkishindwana uje hapa nina 20m iko mfuko wa shatiNjoo pm tuongee mkuu
Hiyo hapana mkuuMkishindwana uje hapa nina 20m iko mfuko wa shati
Hati za mauziano zipo mkuu,document zote zipo
Kwa kipofu mkuuVisiga ipi kwa kipofu au madafu
NdioMeelwana na Mama Hakimi lakin!? Mambo ya kesi sio mazuri
Ndio
Dah kweli mkuu,ndio changamoto za maisha,pole sanaKila la heri ndugu yangu, miaka 10 ilihopita niliuza nyumba yangu kwa 25m.
Kiwanja cha hiyo Nyumba kilikuwa 20m cash nilinunua, na nyumba ilikuwa lenter, zipo 2.
Thamani yake halisi ilikuwa 40m, bila masihara, ulikuwa wakati mgumu sana kwangu.
Kila nikiona Nyumba inauzwa inanikumbusha kwamba kuna nyakati kwenye maisha zilikuwa ngumu.
Upande wa barabara ya zamani au upande wa roma kanisaniKwa kipofu mkuu
Upande wa morogoro road ya zamani,unatembea kidogo tu umefikaUpande wa barabara ya zamani au upande wa roma kanisani
Karibu mkuuUpande wa barabara ya zamani au upande wa roma kanisani
Wapi mkuuNaona bendera ya mnyama hapo
MezaniWapi mkuu
HahaMezani
Kwenye 15 au 18 hivi mkuuKutoka kibaha town,/picha ya ndege mpaka ufike visiga ni km ngapi wakuu?