Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
- Thread starter
-
- #41
Hakika mkuu,hewa nzuri,hakuna fujo nyingi,pametulia,ukiwa na muda siku ,tutafune mkuuWazee mwendokasi inafika Kibaha stendi mpya. Changamkieni huu mjengo.
Binafsi nakaa maeneo ya Visiga. Kuna amani Sana hasa siku za weekend, maji ya kumwaga, umeme haukatiki kwasababu huku Kuna viwanda, hakuna kelele za bar Wala vyangudoa.
Najivunia kuishi Visiga japo ofisi iko Morocco.
Sasa hakuna bar, hakuna vyangu doa, wengine bila sehemu za shamra shamra huwa shida kweli, duh.Wazee mwendokasi inafika Kibaha stendi mpya. Changamkieni huu mjengo.
Binafsi nakaa maeneo ya Visiga. Kuna amani Sana hasa siku za weekend, maji ya kumwaga, umeme haukatiki kwasababu huku Kuna viwanda, hakuna kelele za bar Wala vyangudoa.
Najivunia kuishi Visiga japo ofisi iko Morocco.
Sikatai.Sasa hakuna bar, hakuna vyangu doa, wengine bila sehemu za shamra shamra huwa shida kweli, duh.
Hahaha utasogea mlandizi wakumwaga,sio mbaliSasa hakuna bar, hakuna vyangu doa, wengine bila sehemu za shamra shamra huwa shida kweli, duh.
Sahihi kabisaSikatai.
Kuna watu ukiwatoa Kigogo, Mburahati, Vingunguti na kwa mnyamani hakika hawakuelewi. Ila Kama unataka ulee wanao kwa maadili mema, njoo Kibaha.
Kule O'bay na Masaki mitoto Ni nyoronyoro haijui hata kupanda daladala.
Mwisho kabisa.
Ukitaka kununua nyumba, hiki kipindi Cha mvua ndio kipindi muafaka.
Kiabgazi unaweza kuuziwa nyumba kumbe sehemu yenyewe inajaa maji au paa linavuja.
Ongeza ongeza mkuu,tumalize27m unachukua?
Mwambie aje aone mandhari kwanza. Nina uhakika ataongeza.Ongeza ongeza mkuu,tumalize
Sawa sawa mkuu,ngoja nimcheki pm nimtumie na video aone vizuri,akifika hatoichaMwambie aje aone mandhari kwanza. Nina uhakika ataongeza.
Iweke tu hapa mkuu!Sawa sawa mkuu,ngoja nimcheki pm nimtumie na video aone vizuri,akifika hatoicha
HiiIweke tu hapa mkuu!
1.Nyumba nzuri.
Umeme ya dawasco, vyote vipo mkuu1.Nyumba nzuri.
2.Kiwanja kina ukubwa mzuri sana.
3.Nikubalie nikulipe 15,mwisho wa mwezi halafu 15 baada ya siku 90.
Sorry Pana umeme? na maji.
Nakuja pm mkuu1.Nyumba nzuri.
2.Kiwanja kina ukubwa mzuri sana.
3.Nikubalie nikulipe 15,mwisho wa mwezi halafu 15 baada ya siku 90.
Sorry Pana umeme? na maji.
Weka hapahapa wote tuoneNitumie Namba yako inbox,uone video kwa usahihi zaidi
Nimeweka mkuu,angalia comment namba 54Weka hapahapa wote tuone