House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

Duh

Nimesimama nilichokua nafanya,nikapumua,then nikawaza haya maisha kwa mapana yake

Wanaume tunapitia moto wa ajabu maisha yetu yote

Wanaume tunapumzika tukiwa tumekufa tu

This is so deep...thanks for sharing!
 
Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa,
Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko,
Uwanja mkubwa squire meter 800
Ina fensi ya kisasa.
Umeme na maji vipo,
Umbali km moja kutoka morogoro road,
Bei milioni 35.negotiable
Designer wa ndani tu ndio amekuangusha ila ni bonge la jumba wacha nije tuyajenge aisee
 
Mkuu ni mikopo au?
 
Daah mimi kuishi mile moja naona mbali kwenda Morocco kumbe wewe unatokea Visiga mkuu
 
Duh

Nimesimama nilichokua nafanya,nikapumua,then nikawaza haya maisha kwa mapana yake

Wanaume tunapitia moto wa ajabu maisha yetu yote

Wanaume tunapumzika tukiwa tumekufa tu

This is so deep...thanks for sharing!
Sio wanaume tu matatizo hayana Jinsia ila wakat mwingine unaweza ukauza sehem kwa matatizo ila km n mpambanaji utapata zaid ya ulichokipoteza kipind kile cha babu wa loriondo jiran yetu aliizaga nyumba yake akaenda na mkewe akiwa na tumain angepona alivyorud alipanga kwa waliokua wapangaji wake kabla hawajafanikiwa kujenga kwa sasahiv kajenga tena nyumba kubwa zaid ya ile ya mwanzo na eneo n kubwa na usafiri anao hua inanifundisha some time matatizo hua yanaambatana na Neema ndan yke maana kabla hajayumba alikua muuza vyombo baada ya mambo kuyumba akajiripua mgodin na huko ndo alikokuja kufanikiwa zaidi ya mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…