[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] funza_dume[emoji218][emoji218] shkamoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie sio kijana. Vijana ni wanangu
Karibu, tena nitakuelekeza mpk machimbo ya vifaa vya bei rahisi kwa hapa Dar na sitakupa namba ila nitatumia PM tuYaelekea wewe ni mtathimini mzuri sana naweza kukusumbua siku za usoni mkuu.
Kuna topiki niliwahi kuelezea kuhusu mimi siwezi kukuaminisha ila kwa wenue akili wananielewa. Nina elimu kubwa na naongea kwa facts sio blah blah za kitotoWewe ni muongo sana mwalimu
Marahaba. Mtoto wangu wa kwanza amemaliza University mwaka jana. Wa pili yuko first year na watatu ambaye bao liliniponyoka mwishoni mwa ujana yuko form 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] funza_dume[emoji218][emoji218] shkamoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Elimu kubwa ipi ya Quran? Au ya vita vya majimaji?Kuna topiki niliwahi kuelezea kuhusu mimi siwezi kukuaminisha ila kwa wenue akili wananielewa. Nina elimu kubwa na naongea kwa facts sio blah blah za kitoto
Kumbe wewe ni dogo tu sasa kipimo cha uzee kwako eti ni mtoto kumaliza university wakati ana miaka 24?Marahaba. Mtoto wangu wa kwanza amemaliza University mwaka jana. Wa pili yuko first year na watatu ambaye bao liliniponyoka mwishoni mwa ujana yuko form 4
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Liliponyokaje mkuu! Siku nyingine ufunge kamba kama mkwijiMarahaba. Mtoto wangu wa kwanza amemaliza University mwaka jana. Wa pili yuko first year na watatu ambaye bao liliniponyoka mwishoni mwa ujana yuko form 4
Acha kushupaza mishipa ya shingo. Chukua facts za ujenzi nilizotoa zitakusaidia katika maisha yakoKumbe wewe ni dogo tu sasa kipimo cha uzee kwako eti ni mtoto kumaliza university wakati ana miaka 24?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Uzi wa dalali huu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Elimu kubwa ipi ya Quran? Au ya vita vya majimaji?
Mkuu utakua Fundi Maiko sio bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kushupaza mishipa ya shingo. Chukua facts za ujenzi nilizotoa zitakusaidia katika maisha yako
Humu kila mtu ana ghorofa na ana elimu kubwa na ànafanya kazi kubwa mno serikalini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Uzi wa dalali huu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Tupo pamoja mzee usijaliAcha kushupaza mishipa ya shingo. Chukua facts za ujenzi nilizotoa zitakusaidia katika maisha yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Tuna kazi sana!Humu kila mtu ana ghorofa na ana elimu kubwa na ànafanya kazi kubwa mno serikalini
Nimetoa angalizo hapo juu jinsi ya kutathmini bei. Mtu hajaweka hata ukubwa wa nyumba kwa sqm unasemaje ina deserve hiyo bei?Itoshe kusema hiyo nyuma ina deserve hiyo mil.180, mjadala ufungwe. Me ningekua na hiyo hela wala nisingepepesa macho.
Sawa Fundi Maiko[emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!Kitaalam sqm 1 ya nyumba bei yake ni 500,000 mpk 750,000 sasa piga hesabu nyumba yako ina ukubwa gani kwa sqm kisha zidisha. Hizo bei imewekwa range kuzingatia maeneo na tofauti ya bei ya materials. Kwa hiyo kama unauziwa nyumba angalia bei ya viwanja maeneo hayo kwa sqm kisha angalia ukubwa wa nyumba kisha zidisha.
Hizo bei nilizotaja ni kwa nyumba standard iliyojengwa na materials imara na ni mpaka finishing zote.
Sio unaenda tu unaambiwa kijumba kinauzwa 180m kwa kuwa kiko Mbweni wewe unatoa bila kufanya tathmini ya kitaalam. Utaishia kupigwa mara mbili ya bei ya kawaida.
Tatizo Bongo nyumba zinauzwa na madalali kwa ufundi wa kuongea na sio kutumia valuers wenye weledi na waliosomea hayo mambo.
Mwisho wa siku kijana unaogopa kujenga wakati ungeanza at your 20s ungekuwa na nyumba 10 ukifika 40 au 50yrs.
Amkeni watanzania halafu mtu anajitolea kuwaelekeza tena bure mnaleta ubishi wa kijinga sijui fundi Michael sijui kila mtu ana ghorofa. Soma between lines hata kama kichwa chako ni maji utaokota kitu kikusaidie maishani mwako.
Mm mwenyewe mpaka dakika hii ningekua nimesha inunua na kutaka huu uzi ufungwe maana sio biashara tena!Itoshe kusema hiyo nyuma ina deserve hiyo mil.180, mjadala ufungwe. Me ningekua na hiyo hela wala nisingepepesa macho.
Mkuu, hivi vyumba huku mtaani vya kupanga, ambavyo sisi walalahoi tunalipa elfu30 huku meno yanatutoka, inatakiwa tupange kwa sh ngapi kwa sqm!!!?Nimetoa angalizo hapo juu jinsi ya kutathmini bei. Mtu hajaweka hata ukubwa wa nyumba kwa sqm unasemaje ina deserve hiyo bei?
Hata kwenye kupangisha nyumba sqm ni muhimu sana. Usipange tu nyumba kwa bei fulani kisa ni vyumba viwili na sebule kitaalam inapaswa kupanga kwa sqm.
Madalali wetu hawana hiyo elimu mtu unaingizwa chumba cha sqm 9 kwa bei sawa na cha 16 katika eneo moja kisa tu ni vyumba viwili na sebule.
Akili tumepewa tuzitumie na sio kukalia ujinga ujinga. Nenda kwenye majengo yote duniani unapangishwa kwa sqm. Huku kwetu unapangishwa kutokana na utaalam wa dalali kuongea. Stupid