INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] funza_dume[emoji218][emoji218] shkamoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Marahaba. Mtoto wangu wa kwanza amemaliza University mwaka jana. Wa pili yuko first year na watatu ambaye bao liliniponyoka mwishoni mwa ujana yuko form 4
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Liliponyokaje mkuu! Siku nyingine ufunge kamba kama mkwiji

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Kitaalam sqm 1 ya nyumba bei yake ni 500,000 mpk 750,000 sasa piga hesabu nyumba yako ina ukubwa gani kwa sqm kisha zidisha. Hizo bei imewekwa range kuzingatia maeneo na tofauti ya bei ya materials. Kwa hiyo kama unauziwa nyumba angalia bei ya viwanja maeneo hayo kwa sqm kisha angalia ukubwa wa nyumba kisha zidisha.

Hizo bei nilizotaja ni kwa nyumba standard iliyojengwa na materials imara na ni mpaka finishing zote.

Sio unaenda tu unaambiwa kijumba kinauzwa 180m kwa kuwa kiko Mbweni wewe unatoa bila kufanya tathmini ya kitaalam. Utaishia kupigwa mara mbili ya bei ya kawaida.

Tatizo Bongo nyumba zinauzwa na madalali kwa ufundi wa kuongea na sio kutumia valuers wenye weledi na waliosomea hayo mambo.

Mwisho wa siku kijana unaogopa kujenga wakati ungeanza at your 20s ungekuwa na nyumba 10 ukifika 40 au 50yrs.

Amkeni watanzania halafu mtu anajitolea kuwaelekeza tena bure mnaleta ubishi wa kijinga sijui fundi Michael sijui kila mtu ana ghorofa. Soma between lines hata kama kichwa chako ni maji utaokota kitu kikusaidie maishani mwako.
 
Itoshe kusema hiyo nyuma ina deserve hiyo mil.180, mjadala ufungwe. Me ningekua na hiyo hela wala nisingepepesa macho.
Nimetoa angalizo hapo juu jinsi ya kutathmini bei. Mtu hajaweka hata ukubwa wa nyumba kwa sqm unasemaje ina deserve hiyo bei?

Hata kwenye kupangisha nyumba sqm ni muhimu sana. Usipange tu nyumba kwa bei fulani kisa ni vyumba viwili na sebule kitaalam inapaswa kupanga kwa sqm.

Madalali wetu hawana hiyo elimu mtu unaingizwa chumba cha sqm 9 kwa bei sawa na cha 16 katika eneo moja kisa tu ni vyumba viwili na sebule.

Akili tumepewa tuzitumie na sio kukalia ujinga ujinga. Nenda kwenye majengo yote duniani unapangishwa kwa sqm. Huku kwetu unapangishwa kutokana na utaalam wa dalali kuongea. Stupid
 
Kitaalam sqm 1 ya nyumba bei yake ni 500,000 mpk 750,000 sasa piga hesabu nyumba yako ina ukubwa gani kwa sqm kisha zidisha. Hizo bei imewekwa range kuzingatia maeneo na tofauti ya bei ya materials. Kwa hiyo kama unauziwa nyumba angalia bei ya viwanja maeneo hayo kwa sqm kisha angalia ukubwa wa nyumba kisha zidisha.

Hizo bei nilizotaja ni kwa nyumba standard iliyojengwa na materials imara na ni mpaka finishing zote.

Sio unaenda tu unaambiwa kijumba kinauzwa 180m kwa kuwa kiko Mbweni wewe unatoa bila kufanya tathmini ya kitaalam. Utaishia kupigwa mara mbili ya bei ya kawaida.

Tatizo Bongo nyumba zinauzwa na madalali kwa ufundi wa kuongea na sio kutumia valuers wenye weledi na waliosomea hayo mambo.

Mwisho wa siku kijana unaogopa kujenga wakati ungeanza at your 20s ungekuwa na nyumba 10 ukifika 40 au 50yrs.

Amkeni watanzania halafu mtu anajitolea kuwaelekeza tena bure mnaleta ubishi wa kijinga sijui fundi Michael sijui kila mtu ana ghorofa. Soma between lines hata kama kichwa chako ni maji utaokota kitu kikusaidie maishani mwako.
Sawa Fundi Maiko[emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Nimetoa angalizo hapo juu jinsi ya kutathmini bei. Mtu hajaweka hata ukubwa wa nyumba kwa sqm unasemaje ina deserve hiyo bei?

Hata kwenye kupangisha nyumba sqm ni muhimu sana. Usipange tu nyumba kwa bei fulani kisa ni vyumba viwili na sebule kitaalam inapaswa kupanga kwa sqm.

Madalali wetu hawana hiyo elimu mtu unaingizwa chumba cha sqm 9 kwa bei sawa na cha 16 katika eneo moja kisa tu ni vyumba viwili na sebule.

Akili tumepewa tuzitumie na sio kukalia ujinga ujinga. Nenda kwenye majengo yote duniani unapangishwa kwa sqm. Huku kwetu unapangishwa kutokana na utaalam wa dalali kuongea. Stupid
Mkuu, hivi vyumba huku mtaani vya kupanga, ambavyo sisi walalahoi tunalipa elfu30 huku meno yanatutoka, inatakiwa tupange kwa sh ngapi kwa sqm!!!?

Usikute wanatulangua hawa wezi wadhilifu wenye nyumba

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
funzadume kama unataka kununua/kupanga nyumba kwa sqm nenda NHC. Ila hiyo nyumba ni halali kabisa kwa bei tajwa. Nyie mnaojifanyaga much know ndo huwa mnapigwa/mnatapeliwa vizuri/kisomi na watoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom