hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
- Thread starter
-
- #21
Hiyo kauli ni kwa sababu haujafika eneo husika,ungebahatika kufika usingeliongea hivo.its very marketable placeUnauza mawe mkuu unasema kiwanja, hicho ni choo juu ya mawe ndo kinauzwa
Dah nimejikuta nacheka kwa sauti! Basi sawa
Ni lazima uangalie investment iliyofanyika + cost ya eneo husika.Biggest joke so far
Dah nimejikuta nacheka kwa sauti! Basi sawa
Lock city tafasiri yake ni mji wa makufuri sasa sijui umejua tofauti ya neno LOCK na ROCKMaeneo mengi ya mwanza yamezunguka na mawe ndo maana ikaitwa lock city.
Eneo linalozunguka nyumba linajengeka pia ni kubwa,
Thanks
Hata mimi nimejikuta nacheka sanaDah nimejikuta nacheka kwa sauti! Basi sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaniHata mimi nimejikuta nacheka sana
Imechukuliwa kwa mbali mkuu ,ni master room na sebule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo sio nyumba ni chumba,
Mkuu umekuwa kama mimi nilivoona picha tu nimecheka kwa sauti sana hapa home na hivi umeme hamna na kimya hiki kila mtu amebaki ameduwaa wanadhani mashetani yamenipanda kumbe ni jfDah nimejikuta nacheka kwa sauti! Basi sawa
Na ndo maana bei ni ndogo,kutokana na investment iliyopo hapo.eneo ni zuri kwa anayefahamu thamani ya ardhi tuwasiliane.Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
Hahahaaa nimecheka mpk uchovu wa kazi umeisha! Na huu umeme wamekata muda si mrefu sijui wanatutakia nini!Mkuu umekuwa kama mimi nilivoona picha tu nimecheka kwa sauti sana hapa home na hivi umeme hamna na kimya hiki kila mtu amebaki ameduwaa wanadhani mashetani yamenipanda kumbe ni jf
Ni master room na sebule mkuu.hiyo bei inaendana na investment iliyofanyika.Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!