House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

Unauza mawe mkuu unasema kiwanja, hicho ni choo juu ya mawe ndo kinauzwa
Hiyo kauli ni kwa sababu haujafika eneo husika,ungebahatika kufika usingeliongea hivo.its very marketable place
 
Dah nimejikuta nacheka kwa sauti! Basi sawa
d6add360e9550c108970c2cf2663bc9e.jpg
 
Maeneo mengi ya mwanza yamezunguka na mawe ndo maana ikaitwa lock city.
Eneo linalozunguka nyumba linajengeka pia ni kubwa,
Thanks
Lock city tafasiri yake ni mji wa makufuri sasa sijui umejua tofauti ya neno LOCK na ROCK
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo sio nyumba ni chumba,
 
Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
 
Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Comment za huu uzi haki nimecheka!!
 
Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
Na ndo maana bei ni ndogo,kutokana na investment iliyopo hapo.eneo ni zuri kwa anayefahamu thamani ya ardhi tuwasiliane.
Bei ni maelewano
 
Mkuu umekuwa kama mimi nilivoona picha tu nimecheka kwa sauti sana hapa home na hivi umeme hamna na kimya hiki kila mtu amebaki ameduwaa wanadhani mashetani yamenipanda kumbe ni jf
Hahahaaa nimecheka mpk uchovu wa kazi umeisha! Na huu umeme wamekata muda si mrefu sijui wanatutakia nini!
 
Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
Ni master room na sebule mkuu.hiyo bei inaendana na investment iliyofanyika.
Nimeskia Nyumba za lugumi zimekosa wateja
 
Back
Top Bottom