Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kwa sababu hii ni biashara, tunakutakia kila la kheri Mkuu.Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Ahsante Mkuu,Kwa sababu hii ni biashara, tunakutakia kila la kheri Mkuu.
Shusha mpaka 75mYes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Hivi Posta unapajua?Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Ndo mnavyouziana nyumba hapo Tanga au sio? 🤣Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Mkuu hivi unajua maana ya Low density area? 🤣 Hizo ndio huwa tunauziana 400M to 1B huku mjini.Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Kumbuka hapo ni tanga mkuu sio dsm.Hili eneo ni karibu na ikulu. Ni kama hivi pale magogoni Posta kiwanja kiwe karibu na pale. Hiyo 370mil basi tu Kwa vile tuna shida ya pesa ya haraka
Sasa Mkuu wangu nitafanyaje na mleta mada anaweka tangazo hata bei haweki? Watu wanauliza bei nimeona nitiririke nayo tu hivyo hivyo.
kisosora njia yakwenda Amboni au kisosora ya nguvu mali?. Hio bei huwezi kuuza kama Kisosora ni prime Area na Laska zone, Donge, Kange, watauza bei Gani ingawa hata hio bei haifiki Kwa nyumba ya namna hiyo eneo lolote Tanga.Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Hapa ni karibu na Ikulu kumbuka Mkuu, yaani Mjini kabisa. Kange hata Mjini hujafika bado.kisosora njia yakwenda Amboni au kisosora ya nguvu mali?. Hio bei huwezi kuuza kama Kisosora ni prime Area na Laska zone, Donge, Kange, watauza sh ngapi?.
Ikulu Iko Nguvumali na nipolini Kule , hakuna kiwanja kinauzwa hata mil 15 KuleHapa ni karibu na Ikulu kumbuka Mkuu, yaani Mjini kabisa. Kange hata Mjini hujafika bado.
unaishi nguvu mali au ulikua hapo mwaka ganiIkulu Iko Nguvumali na nipolini Kule , hakuna kiwanja kinauzwa hata mil 15 Kule
Naishi Mbezi malamba 2, lakini Tanga hua naenda mara Kwa mara. Hata last week nilikua Tanga.unaishi nguvu mali au ulikua hapo mwaka gani
nguvu mali ni pori lisilo nunulika au mpaka pawe sawa na barabara ya 12 ndio utapanunua kwa 15mNaishi Mbezi malamba 2, lakini Tanga hua naenda mara Kwa mara. Hata last week nilikua Tanga.