House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Mkuu hivi unajua maana ya Low density area? 🤣 Hizo ndio huwa tunauziana 400M to 1B huku mjini.

Nimeshangaa mno kuona nyumba ya aina hio huko Tanga mtu anauziwa hadi 700M.
 
Hili eneo ni karibu na ikulu. Ni kama hivi pale magogoni Posta kiwanja kiwe karibu na pale. Hiyo 370mil basi tu Kwa vile tuna shida ya pesa ya haraka
 
Hili eneo ni karibu na ikulu. Ni kama hivi pale magogoni Posta kiwanja kiwe karibu na pale. Hiyo 370mil basi tu Kwa vile tuna shida ya pesa ya haraka
Kumbuka hapo ni tanga mkuu sio dsm.

Ingekua eneo la kiabiashara ni sahihi Ila eneo la makazi bado watu wengi hawajafika huko
 
Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
kisosora njia yakwenda Amboni au kisosora ya nguvu mali?. Hio bei huwezi kuuza kama Kisosora ni prime Area na Laska zone, Donge, Kange, watauza bei Gani ingawa hata hio bei haifiki Kwa nyumba ya namna hiyo eneo lolote Tanga.
 
Back
Top Bottom