RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Viwanja Kange mil 5 unapata kiwanja, sehemu ambapo ukiwa na gari ndani yadakika Tano mpaka Saba unakua Chumbagen, Forodhan ,au stand ya Zaman. Nguvumali kagera Kule, au Galanosi au Nguvumali karibu na Kanisa la kakobe Kule kote nyumba za hovyo na ajabu. Sehemu ambapo vyumba vya kupanga havizid elfu 50 eti nimjini. Tanga nisehemu ya hovyo Sana kiujumla.nguvu mali ni pori lisilo nunulika
shida ya kange ni uwepo wa nyika kutoka nyumba moja hadi nyingine mkuu na zile barabara za ndani ya mtaa.Viwanja Kange mil 5 unapata kiwanja, sehemu ambapo ukiwa na gari ndani yadakika Tano mpaka Saba unakua Chumbagen, Forodhan ,au stand ya Zaman. Nguvumali kagera Kule, au Galanosi au Nguvumali karibu na Kanisa la kakobe Kule kote nyumba za hovyo na ajabu. Sehemu ambapo vyumba vya kupanga havizid elfu 50 eti nimjini. Tanga nisehemu ya hovyo Sana kiujumla.
Nandio maana nasema bado Tanga sio mjini, kutoka center ya mji kwenda Duga, kivumbi tifu, Kwa Neema, Machui Kule sizaid ya dakika 20, kutoka center kwenda Mbokweni sizaid ya dakika 30, kutoka center kwenda makorola Donge , kutoka center kwenda majengo,mapinduzi magomen mpaka Masiwani haizidi dakika 20 Kwa gari lkn kote huko unakutana na mapori.shida ya kange ni uwepo wa nyika kutoka nyumba moja hadi nyingine mkuu na zile barabara za ndani ya mtaa.
Nguvu Mali nimekaa 2 yrs pale , Tanga kuna Aman sijawah ona mkoa wwte tzNaishi Mbezi malamba 2, lakini Tanga hua naenda mara Kwa mara. Hata last week nilikua Tanga.
Inategemea umekaa mikoa mingapi mkuu. Vipi Dodoma amani hamna?, Tabora je?. Mbeya Nako vipi?.Nguvu Mali nimekaa 2 yrs pale , Tanga kuna Aman sijawah ona mkoa wwte tz
ni sawa lakini ni sehemu nzuri sana kwa wafayabiashara kuchukua mizigo kwa bei nzuri na kwenda kuwagonga wabaraNandio maana nasema bado Tanga sio mjini, kutoka center ya mji kwenda Duga, kivumbi tifu, Kwa Neema, Machui Kule sizaid ya dakika 20, kutoka center kwenda Mbokweni sizaid ya dakika 30, kutoka center kwenda makorola Donge , kutoka center kwenda majengo,mapinduzi magomen mpaka Masiwani haizidi dakika 20 Kwa gari lkn kote huko unakutana na mapori.
Kiukweli Tanga bado, bado sana.
Mbeya hamna , Mbeya hamna , labda Tabora Kwa mbalInategemea umekaa mikoa mingapi mkuu. Vipi Dodoma amani hamna?, Tabora je?. Mbeya Nako vipi?.
Mfano biashara Gani mkuu?. Tanga vifaa vya electronics vpo bei juu ukilinganisha na Dsm.ni sawa lakini ni sehemu nzuri sana kwa wafayabiashara kuchukua mizigo kwa bei nzuri na kwenda kuwagonga wabara
mkuu siwezi kukupa siri za biashara ila amini nalokwambiaMfano biashara Gani mkuu?. Tanga vifaa vya electronics vpo bei juu ukilinganisha na Dsm.
Nyumba kama hiyo KWA hiyo bei sio kabisa!!!!Yes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Tabora, Mbeya pote amani tupu, hata Tarime nimeishi mwezi mmoja, inategemea umeamua kuishi maisha ya namna gani ili uione amani. Kwa Sasa Tanga Kuna watoto wa ibilisi ndio wanasumbua.Mbeya hamna , Mbeya hamna , labda Tabora Kwa mbal
Dah!! Hauko serious brotherYes boss,
Kisossora ni prime area, kama ilivyo Osterbay au Posta kwa Dar es Salaam. Hiyo 370mil tunauzia shida tu, tulianza na 500Mil
Biashara zinazonunuliwa Mombasa ndio zinakua bei ya chini na hii nikwasababu Kuna mpaka mrefu kati ya Tz na Kenya kwahio biashara nyingi huingia Kwa njia ya Magendo, pia biashara zinazotoka Zanzibar Kuja Tanga hushushwa na Jahaz na mitumbwi, Baadhi kwahio hukwepa baadhi ya Kodi, hasa Kwa Nairobi biashara za dawa za binadamu huuzwa bei ya chini Sana na hupitisha mzigo Kwa Magendo mnauza bei ya chini.mkuu siwezi kukupa siri za biashara ila amini nalokwambia
Comments zako zinaonyesha unapajua Tanga vema sanaa. Hivi watoto wa Ibilisi ndo wakina nani, shuka kidgo.Tabora, Mbeya pote amani tupu, hata Tarime nimeishi mwezi mmoja, inategemea umeamua kuishi maisha ya namna gani ili uione amani. Kwa Sasa Tanga Kuna watoto wa ibilisi ndio wanasumbua.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenye uzi amekukosea sanaa umeamua kumyoooshaaaa.Sawa wakuu,
Nimewasikiliza na nimewaelewa. Kwa kua Mimi ni msikivu sana basi nimeshusha Bei kutoka 370mil mpaka 350mil. Changamkieni nyumba hiyo, iko Mjini kabisa.
[emoji16][emoji16]Yani una maanisha $151, 329.24
Kama walivyo Panya road ndio Tanga wanajiita watoto wa ibilisi.Comments zako zinaonyesha unapajua Tanga vema sanaa. Hivi watoto wa Ibilisi ndo wakina nani, shuka kidgo.
Tanga nmezulula bush huko, Maramba, Daluni, mavovo hukooo.
Unaijua tabora vzr wewe?Mbeya hamna , Mbeya hamna , labda Tabora Kwa mbal