House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

nguvu mali ni pori lisilo nunulika
Viwanja Kange mil 5 unapata kiwanja, sehemu ambapo ukiwa na gari ndani yadakika Tano mpaka Saba unakua Chumbagen, Forodhan ,au stand ya Zaman. Nguvumali kagera Kule, au Galanosi au Nguvumali karibu na Kanisa la kakobe Kule kote nyumba za hovyo na ajabu. Sehemu ambapo vyumba vya kupanga havizid elfu 50 eti nimjini. Tanga nisehemu ya hovyo Sana kiujumla.
 
shida ya kange ni uwepo wa nyika kutoka nyumba moja hadi nyingine mkuu na zile barabara za ndani ya mtaa.
 
Nandio maana nasema bado Tanga sio mjini, kutoka center ya mji kwenda Duga, kivumbi tifu, Kwa Neema, Machui Kule sizaid ya dakika 20, kutoka center kwenda Mbokweni sizaid ya dakika 30, kutoka center kwenda makorola Donge , kutoka center kwenda majengo,mapinduzi magomen mpaka Masiwani haizidi dakika 20 Kwa gari lkn kote huko unakutana na mapori.

Kiukweli Tanga bado, bado sana.
 
ni sawa lakini ni sehemu nzuri sana kwa wafayabiashara kuchukua mizigo kwa bei nzuri na kwenda kuwagonga wabara
 
mkuu siwezi kukupa siri za biashara ila amini nalokwambia
Biashara zinazonunuliwa Mombasa ndio zinakua bei ya chini na hii nikwasababu Kuna mpaka mrefu kati ya Tz na Kenya kwahio biashara nyingi huingia Kwa njia ya Magendo, pia biashara zinazotoka Zanzibar Kuja Tanga hushushwa na Jahaz na mitumbwi, Baadhi kwahio hukwepa baadhi ya Kodi, hasa Kwa Nairobi biashara za dawa za binadamu huuzwa bei ya chini Sana na hupitisha mzigo Kwa Magendo mnauza bei ya chini.
 
Sawa wakuu,

Nimewasikiliza na nimewaelewa. Kwa kua Mimi ni msikivu sana basi nimeshusha Bei kutoka 370mil mpaka 350mil. Changamkieni nyumba hiyo, iko Mjini kabisa.
 
Tabora, Mbeya pote amani tupu, hata Tarime nimeishi mwezi mmoja, inategemea umeamua kuishi maisha ya namna gani ili uione amani. Kwa Sasa Tanga Kuna watoto wa ibilisi ndio wanasumbua.
Comments zako zinaonyesha unapajua Tanga vema sanaa. Hivi watoto wa Ibilisi ndo wakina nani, shuka kidgo.

Tanga nmezulula bush huko, Maramba, Daluni, mavovo hukooo.
 
Sawa wakuu,

Nimewasikiliza na nimewaelewa. Kwa kua Mimi ni msikivu sana basi nimeshusha Bei kutoka 370mil mpaka 350mil. Changamkieni nyumba hiyo, iko Mjini kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenye uzi amekukosea sanaa umeamua kumyoooshaaaa.
 
Comments zako zinaonyesha unapajua Tanga vema sanaa. Hivi watoto wa Ibilisi ndo wakina nani, shuka kidgo.

Tanga nmezulula bush huko, Maramba, Daluni, mavovo hukooo.
Kama walivyo Panya road ndio Tanga wanajiita watoto wa ibilisi.
 
Back
Top Bottom