House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

Okay sawa..hayo ndo mambo ya msingi ungenikumbusha hvyo wala isingeleta utata..Shukran
Ahsante Mkuu wangu, tusameheane pia bure. Sababu umefika mwenyewe basi endelea na uzi wako. Mi nlikua naushikilia tu kwa muda.

Hata nyumba yenyewe ilipo sipajui hata
 
Ahsante Mkuu wangu, tusameheane pia bure. Sababu umefika mwenyewe basi endelea na uzi wako. Mi nlikua naushikilia tu kwa muda.

Hata nyumba yenyewe ilipo sipajui hata
Yashapita hayo tuombeane dua naweza pata mteja.
 
Back
Top Bottom