Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

Acha Bangi

Hiyo ramani uliyowekwa sasa sikushauri ni ndogo sana.

Halafu kama hela zako za mawazo usijenge nyumba ambayo itasababisha bati nyingi kukatwa hovyo hovyo.

Zile ramani za mwanzo zinafaa tu kujenga nyumba ya kwanza ya maisha yako na ni standard tu kwa mtu ambaye anaanza maisha.

Mil 7 ni nyingi kama utaipangilia vizuri.
Kwaio mkuu unataka kuniambia m7 itakidhi vitu muhim nihamie
 
Kwaio mkuu unataka kuniambia m7 itakidhi vitu muhim nihamie
Ndio Kwa mfano ukinyanyua boma hakuna haha ya kuzungusha ring beam nyumba nzima ila unaweka kwenye openings tuu na ingekuwa Mkoani unajengea tifari hapo angejengea udongo na rental anaweka sehemu muhimu sio zote Zenye openings so gharama ingekuwa nafuu zaidi..

Hata hivyo ramani ya kwanza utajenga upaue na walau upate milango 2 ya sebuleni mwingineo.
 
Ndio Kwa mfano ukinyanyua boma hakuna haha ya kuzungusha ring beam nyumba nzima ila unaweka kwenye openings tuu na ingekuwa Mkoani unajengea tifari hapo angejengea udongo na rental anaweka sehemu muhimu sio zote Zenye openings so gharama ingekuwa nafuu zaidi..

Hata hivyo ramani ya kwanza utajenga upaue na walau upate milango 2 ya sebuleni mwingineo.
Asante kwa ushaur mkuu
 
Hebu weka hiyo ramani ya mother mdogo.Ichore tu hata kwa mkono
Siwez kuchora lkin Haina makolokolo nyuma ni vyumba viwil tu na amelaza bati upande mmoja now anamalizia mbele chumba kimoja na sebule km ilivo hii tofauti yake Haina choo ndani na jiko basi ila Iko hivo hivo labda ukaaji wa milango lkn inaendana
 
Kwa hiyo bajeti na hilo lengo la kuhamia nakushauri ujenge ile ramani ya kwanza ila usijenge yote, ikate nusu kama inavyoonekeana kwenye picha niliyoambatanisha alafu unaacha matoleo utaendeleza kulingana na upatikanaji wa pesa kisha utamalizia na nyumba itakamilika
Wazo zuri
 
Kama utaweza kumaliza kazi na 7mil. fanya hivo haraka sana sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20220729-130259_Instagram.jpg
    Screenshot_20220729-130259_Instagram.jpg
    82.2 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220729-130450_Instagram.jpg
    Screenshot_20220729-130450_Instagram.jpg
    87.1 KB · Views: 36
7m labda vyumba viwli vitakuwa vikali sana vya kisasa tena self

Vikiwa vitatu vitakuwa vya kawaida

Vikiwa vinne Hela ya Rangi utakosa[emoji1]

Vikiwa sita Hela ya Rangi, tiles, bati, grill utaikosa

Vikiwa Saba utaishia kwenye Renta

Vikiwa nane utaishia kozi 4.

Vikiwa Tisa utaishia msingi.

Vikiwa kumi utaishia kwenye tofali na mchanga tu site

Vikiwa 11 vitaishia kwenye karatasi

Vikiwa 12 vitaishia kichwani kwako.

Yote haya kwa 7m.tena ukiwa Dar[emoji1]
 
Sawa mkuu, Sasa naweza kujenga nn kwa uwezo wangu huo?

Shukran mkuu
Wewe hapa hukuja kuuliza ushauri bali unataka tu kuambiwa kile masikio yako yanataka kusikia .i.e unataka kuambiwa jilipue hivyo hivyo, mil 7 inatosha. Ni hivi: hiyo fedha haitoshi.
 
Hii mada imenifunza mengi au ni kwa vile nimefulia tu kipindi hiki ndo maana mipango mingi kichwani naona inawezekana kabisa
Ndugu zangu tulienda shuleni kufanya nini? Nyumba ukishakuwa na ramani ni rahisi kabisa kufanya research na kuja na makadirio ya gharama ya ujenzi.
 
Hiyo ramani ya kwanza ni kama yangu nimejenga mpaka kufikia kupaua nimetumia almost 6M. Navuta pumzi nipaue na kufitisha madirisha na mlango. Hiyo 6M ni kwa kila kitu.
 
Unaweza jenga kaka achana na mabilionea wa humu nakuhakikishia ukiwa unafatilia vitu hiyo ya vyumba viwili na hiyo mil 7 yako unafika mbali let say.
Tofauli zinazohitajika ni 2000@1000=2,000,000
Fundi 600,000
Cement 16,500
Mchanga inategemea ila sehemu nyingi kama vikindu unatolea hapo haoo site.
Anza kaka mwisho wa siku sio umalize moja kwa moja kuna nyumba niliiona inajengwa tangia nipo primary mpaka nafika advance ndio inaisha
 
Sijui kwa nini huwa napenda open kitchen,anyway ramani ya kwanza iko poa.
Ukiipatia open kitchen kwa nyumba ndogo ni mwake, hakuna haja ya dinning table. Umeipenda ya mwanzo pia kwa kuona open kitchen itakaa vzr. Sasa hata híi ya 2 unaweza adjust nafasi ya jiko na sebule ukaipata vzr zaidi.
Mie naichukua rsmani ya2. Kwa mleta mada yategemea yupo wapi na mapato yake baadae ila angechukua ya 2, vyumba vimekamilika kwa familia ya mjini.
 
Hiyo ramani ya kwanza ni kama yangu nimejenga mpaka kufikia kupaua nimetumia almost 6M. Navuta pumzi nipaue na kufitisha madirisha na mlango. Hiyo 6M ni kwa kila kitu.
Sehemu gani gharama hizo?
 
Back
Top Bottom