Acha Bangi
Kwaio mkuu unataka kuniambia m7 itakidhi vitu muhim nihamieHiyo ramani uliyowekwa sasa sikushauri ni ndogo sana.
Halafu kama hela zako za mawazo usijenge nyumba ambayo itasababisha bati nyingi kukatwa hovyo hovyo.
Zile ramani za mwanzo zinafaa tu kujenga nyumba ya kwanza ya maisha yako na ni standard tu kwa mtu ambaye anaanza maisha.
Mil 7 ni nyingi kama utaipangilia vizuri.
Ndio Kwa mfano ukinyanyua boma hakuna haha ya kuzungusha ring beam nyumba nzima ila unaweka kwenye openings tuu na ingekuwa Mkoani unajengea tifari hapo angejengea udongo na rental anaweka sehemu muhimu sio zote Zenye openings so gharama ingekuwa nafuu zaidi..Kwaio mkuu unataka kuniambia m7 itakidhi vitu muhim nihamie
Asante kwa ushaur mkuuNdio Kwa mfano ukinyanyua boma hakuna haha ya kuzungusha ring beam nyumba nzima ila unaweka kwenye openings tuu na ingekuwa Mkoani unajengea tifari hapo angejengea udongo na rental anaweka sehemu muhimu sio zote Zenye openings so gharama ingekuwa nafuu zaidi..
Hata hivyo ramani ya kwanza utajenga upaue na walau upate milango 2 ya sebuleni mwingineo.
Siwez kuchora lkin Haina makolokolo nyuma ni vyumba viwil tu na amelaza bati upande mmoja now anamalizia mbele chumba kimoja na sebule km ilivo hii tofauti yake Haina choo ndani na jiko basi ila Iko hivo hivo labda ukaaji wa milango lkn inaendanaHebu weka hiyo ramani ya mother mdogo.Ichore tu hata kwa mkono
Wazo zuriKwa hiyo bajeti na hilo lengo la kuhamia nakushauri ujenge ile ramani ya kwanza ila usijenge yote, ikate nusu kama inavyoonekeana kwenye picha niliyoambatanisha alafu unaacha matoleo utaendeleza kulingana na upatikanaji wa pesa kisha utamalizia na nyumba itakamilika
Jaribu uonee kama hautaenda kwa mwamposa akupe mafuta uje upake tofari na bati Ili zitoshee ujenzi.Acha Bangi
hapo hayo madirisha tu kuweka grill+Aluminium ni 2mKama utaweza kumaliza kazi na 7mil. fanya hivo haraka sana sana.
Sasa open kitchen una appliances za kutosha au ndo wataka jaza harufu sebureniSijui kwa nini huwa napenda open kitchen,anyway ramani ya kwanza iko poa.
Wewe hapa hukuja kuuliza ushauri bali unataka tu kuambiwa kile masikio yako yanataka kusikia .i.e unataka kuambiwa jilipue hivyo hivyo, mil 7 inatosha. Ni hivi: hiyo fedha haitoshi.Sawa mkuu, Sasa naweza kujenga nn kwa uwezo wangu huo?
Shukran mkuu
Mkuu nimeuza nyumba ya urithi natakiwa nijenge nihamie, ata kama ni chumba kimoja basi sawa mnishauri tu
Ndugu zangu tulienda shuleni kufanya nini? Nyumba ukishakuwa na ramani ni rahisi kabisa kufanya research na kuja na makadirio ya gharama ya ujenzi.Hii mada imenifunza mengi au ni kwa vile nimefulia tu kipindi hiki ndo maana mipango mingi kichwani naona inawezekana kabisa
Ukiipatia open kitchen kwa nyumba ndogo ni mwake, hakuna haja ya dinning table. Umeipenda ya mwanzo pia kwa kuona open kitchen itakaa vzr. Sasa hata híi ya 2 unaweza adjust nafasi ya jiko na sebule ukaipata vzr zaidi.Sijui kwa nini huwa napenda open kitchen,anyway ramani ya kwanza iko poa.
Sehemu gani gharama hizo?Hiyo ramani ya kwanza ni kama yangu nimejenga mpaka kufikia kupaua nimetumia almost 6M. Navuta pumzi nipaue na kufitisha madirisha na mlango. Hiyo 6M ni kwa kila kitu.
Eleza maeneo unayotegemea kujenga bei zinatofautiana sehemu na sehemu.Mkuu nimeuza nyumba ya urithi natakiwa nijenge nihamie, ata kama ni chumba kimoja basi sawa mnishauri tu