Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata

Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
IMG_8798.jpeg



Nimependa muonekano wake !

Je inaweza cost vipi leta mchanganuo

Britanicca
 
Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata

Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507


Nimependa muonekano wake !

Je inaweza cost vipi leta mchanganuo

Britanicca
Ukistaafu watoto wote wameondoka nyumbani umebaki wewe na wife. Sasa nyumba kubwa kama hiyo ya nini? Labda kama floor zingine utaweka wapangaji m.
 
Hapo hakuna cha milioni wala laki. Mandiko yanasema ukitamani ujue tayari umetimiza,,, na sisi chaputa unatuokoaga huo msemo. Kwa hiyo udihangaike maana tsysri ushaijenga kichwani.
 
Back
Top Bottom