britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Chawa ?? Unaumwa lazima niwapunguzie maswali ambao mungeuliza kwanini nimechelewa kujenga!Mtumishi chawa ...
Ni lazima heading itaje idadi ya majengo uliyonayo??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Inaonekana we una ujuzi je inawezekana kufanyika modification inawekwa LIFT (ELEVATOR) ?Hapo kuna nyumba sita ujue, mbili zimezikwa aridhini.
So kwa nyumba wastan wa 100mil basi wee andaa mil 600
Ndio mkuu wee ukitaka ata ielee bahari inawezekana tuu muhimu uwe na mihelaInaonekana we una ujuzi je inawezekana kufanyika modification inawekwa LIFT (ELEVATOR) ?
Andaa 250MNinauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Ukistaafu watoto wote wameondoka nyumbani umebaki wewe na wife. Sasa nyumba kubwa kama hiyo ya nini? Labda kama floor zingine utaweka wapangaji m.Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Andaa 250M
Nataka nijiachieUkistaafu watoto wote wameondoka nyumbani umebaki wewe na wife. Sasa nyumba kubwa kama hiyo ya nini? Labda kama floor zingine utaweka wapangaji m.
Million 180 unakabidhiwa nyumba yako inakuwa na vyumba vinneNinauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Engineer km engineer 😹😹Hapo kuna nyumba sita ujue, mbili zimezikwa aridhini.
So kwa nyumba wastan wa 100mil basi wee andaa mil 600
Kubwaaa mnooo la nini mkuuu ukistaafu unahitaji nyumba ndogo sana tu.....cost maintain hilo jumba litakuua soon ....jenga kawaida tuuuNinauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Labda enginia wa mbususuEngineer km engineer 😹😹
Nipe ramani free mshkaji wangu basi..!!