britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #21
Wahaya tuna tabia ya kuwa tubakutana kila mwezi wa 12, watoto watkuja woteKubwaaa mnooo la nini mkuuu ukistaafu unahitaji nyumba ndogo sana tu.....cost maintain hilo jumba litakuua soon ....jenga kawaida tuuu
Wapangaji wa Nini sasa, wageni wakija watafikia Kwa wapangaji?Ukistaafu watoto wote wameondoka nyumbani umebaki wewe na wife. Sasa nyumba kubwa kama hiyo ya nini? Labda kama floor zingine utaweka wapangaji m.
Jibu zuri sitaki wapangajiWapangaji wa Nini sasa, wageni wakija watafikia Kwa wapangaji?
Siko kwenye siasaUkiingia tu kwenye siasa automatic lazima uwe fisadi mwizi
Wapi nimesema uko siasa mkuu?Siko kwenye siasa
Ukizeheka utakuwa unalala kwenye gereji kwani hautaweza kupanda juuNinauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Nalo nenoUkizeheka utakuwa unalala kwenye gereji kwani hautaweza kupanda juu
Hii una maanisha ikiwa imekamilika kabisa na vyumba vinne kila floor au?Million 180 unakabidhiwa nyumba yako inakuwa na vyumba vinne
Kwani wakiondoka watakuwa hawarudi hata kukujulia hali? Wajukuu watapenda kuja kukutembelea kama una nyumba yenye nafasi! Mwaka jana limeenda ukweni wajukuu wote wakawapo nyumba ilikuwa shughuli pevu! Fikria wajukuu 30 wako pale na wewe una kajumba ka vyumba viwili!Kubwaaa mnooo la nini mkuuu ukistaafu unahitaji nyumba ndogo sana tu.....cost maintain hilo jumba litakuua soon ....jenga kawaida tuuu
nyumba nzima inakuwa na vyumba vinne,eneo liwe tambarare kwa ramani hiihii anaweza kutumia 180 million nyumba inakamilika,ingawa kuna watu watakuja hapa kumtisha kumtajia magharama makubwaHii una maanisha ikiwa imekamilika kabisa na vyumba vinne kila floor au?
Maliza madeni ya mchina kwanza maana ujenzi sio kudinyaEngineer km engineer 😹😹
Nipe ramani free mshkaji wangu basi..!!
Na uzee baada ya kustaafu mkuu utaziweza hizo ngazi kilasiku? Maana kwa muundo wa nyumba hiyo ili ufike sitting room ni lazima upande hizo ngaziNinauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Uzi ufungwetafuta aina nyingine ya nyumba hii imekaa kizamani sana