Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
URUSI mnajenga kwa matofali ya kuchoma?Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
View attachment 3643507
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Kwanini nijenge Urusi wakati nyumbani kupoURUSI mnajenga kwa matofali ya kuchoma?
Haya nayo ni mawazo fulani ya ajabu sana mkuu,wakati najenga nyumba yangu kipindi sijaoa nilitaka room nne but aliyenipa ramani akaniyumbisha kwa kauli kama hii akaniambia room tatu zinatosha leo nina familia siifurahii nyumba yangu.Ukistaafu watoto wote wameondoka nyumbani umebaki wewe na wife. Sasa nyumba kubwa kama hiyo ya nini? Labda kama floor zingine utaweka wapangaji m.
Shukrani mkuunyumba nzima inakuwa na vyumba vinne,eneo liwe tambarare kwa ramani hiihii anaweza kutumia 180 million nyumba inakamilika,ingawa kuna watu watakuja hapa kumtisha kumtajia magharama makubwa
Engineer kweli huyo anajenga na kubomoa..!!Labda enginia wa mbususu
😹😹😹 Umeanza gubu..!!Maliza madeni ya mchina kwanza maana ujenzi sio kudinya
Umeongea ukweli kabisa. Nyumba ya familia inapaswa kuwa na vyumba vinne kwenda juu. Maana ukishakuwa na jinsia mbili za watoto hapo tayari unahitaji vyumba viwili. So kuishi comfortable ndani ya nyumba unahitaji vinne.Haya nayo ni mawazo fulani ya ajabu sana mkuu,wakati najenga nyumba yangu kipindi sijaoa nilitaka room nne but aliyenipa ramani akaniyumbisha kwa kauli kama hii akaniambia room tatu zinatosha leo nina familia siifurahii nyumba yangu.
Sasa hivi nina watoto watatu wamechanganya jinsia,chumba kimoja wa kiume kingine wa kike so nikipata mgeni labda mama yangu inabidi alale chumba cha mtoto wa kike kuna mdogo anakojoa kitandani so inabidi asubuhi bi mkubwa nae alalamike halafu bado ninazaa,mwanangu wa kiume yupo 13 so nikipata mwengine leo akija kufika 5 kaka yake yupo 18 ningekuwa na chumba cha nne ningewagawa hawa kila mmoja na chumba chake but siwezi so inabidi niingie gharama upya nijenge servant quarter.
Nadhani hii kauli inawafaa wenye kikomo cha watoto labda wawili au mmoja kama mpenzi wa watoto haifai.
Haya leta milon moja uandaliwe ramani hapa😹😹😹 Umeanza gubu..!!