Ms.Lincoln embu njoo tu hapa manake mimi hata sijui niseme nini tena, nimesema team kiba mnamatatizo ukanipandishia povu, huyu aliyetuita mbwa hapa LIKES kwa sana, teeena wale wote vinara wa kujiita wastaarabu kutwa kuchwa kuninyooshea vidole mtoto wa mwenzenu wewe paula wewe unaroho mbaya sana, zenu ndio nzurii kwa kusupport matusi kama hayaaaaa????? hahahahahahaaaaaaaa embu mnipisheeeee mie!!! kujitambua na kwenyewe ni shdraaaaaaa!!!!
Mi nakushangaa sana.Ukiona mtu katukana deal naye yeye wacha kupandwa mizuka na mashetani! Kama hujamzoea warumi basi pole.
Mi nakushangaa sana.Ukiona mtu katukana deal naye yeye wacha kupandwa mizuka na mashetani! Kama hujamzoea warumi basi pole.
Mama ukiendeleza huo mtazamo wa hisia kali sijui chuki, husda sijui dharau kwa mambo ya ushabiki ambayo hata huyo msanii hakujui utakonda kabisa.
Huwa unachukuli mambo ya ushabiki too personal.Nakusihi ubadilike.
Mama ukiendeleza huo mtazamo wa hisia kali sijui chuki, husda sijui dharau kwa mambo ya ushabiki ambayo hata huyo msanii hakujui utakonda kabisa.
Huwa unachukuli mambo ya ushabiki too personal.Nakusihi ubadilike.
chige your too clever to argue with this people comments zako huwa zinaempty brain yangu naamanisha zina ujazo wa kutosha lakini hawa watu hunishangaza sana ni kwa jinsi gani walivyona na vichwa vigumu kuelewa,
kitu kinaonekana kabisa ni fake, nilitegemea kabisa hawa wanaojiita wenye mapenzi ya dhati na kiba wakemee, kumbe na wenyewe hawajielewi, maskinii, unawaona wanavyochekelea??
Mimi hapa nimegundua kitu kimoja chige, endapo ikitolewa habari yoyote njema kuhusu kiba huwa inawapa faraja kubwa sanaaa, regardless kuwa hiyo habari ni ya kweli au uongo, utawaona wanavyoshangilia wenyeweee, hata akili ya kupima ukweli wa habari yenyewe wanakuwa hawana tena, kumbuka habari ya BBC fake walivyoichezea ngoma mtaa wao ukawa nifull chereko, now this get me to prove something is wrong with this people so called team kiba, amekosekana hata mmoja aliyesoma mwenye uwezo wa kusoma picha akagungua kuna picha hapo ni type za majengo ya kaleeee??? hizo nyumba zimechukuliwa sehemu tofauti tofauti, na kama kuna nyumba ya kiba hapo labda hizo mbili za mwanzo, lakini kwa hiyo ya tatu, common guys mtakeni kiba radhi plzzz!!
Hiyo picha ya mwisho mbona kama ni makumbusho ya kale.
Jamani hawajanizoea, wanisamehe bure, mimi ni mtu mzuri tu nawapenda wote, this is just a game, we have fun, jokes na ivo
nyie ndio mnayoyaendekeza, ningekuwa siwaoni team kiba mnazojaza comments za chuki dhidi ya diamond ningejipeleka mirembe mwenyeweeeeee. kumbe nyie mlitakaje labda, muumtukane diamond tuuuuuuu, sisi tukae kimya au vipi??? kuna mtu humu ndani anatukamwa kama diamond??? tena bila sababu, Aau labda yeye sio Mtanzania??? kuna mtu humu alisema anatamani sana diamond afulie na wala hajui ni kwanini anatamani hivyo, IMAGINE watu wakampa like kibao, acheni hizo banaaa, diamond nae anamoyo wa nyama, mpeni pumziko la moyo mtoto wa mwenzenu, juzi hapa ukuta wake ulidondoka watu wakacheza mdundiko kwa furaha, unasema nini wewe, mimi paula nitamtetea diamond na kumsupport kwa kila jambo, kama inakukeraa am soleeeee!!!
khaaaaa!!! give me a break, have i ever attack anybody in here personally????????? come again miss, nyie baadhi ya team kiba ndio huwa ninawashangaa sana nikichangia kitu kishabiki anakuja mtu huko anaanza kunishambulia, mimi kama paula, nikiuliza why your coming to me as I, nitajibiwa umetuita team kiba sijui kitu gani, sasa aliyeleta hisia za kipersonal hapo ni nani, wala tusiende mbali nimesema team kiba mnamatatizo is this personal??? wewe ukanijibu mimi as paula, sasa hapo anayetaka kupick a personal fight hapo nani?? unless u educating me some, uniambie comments zenye team elements zinafananaje na zenye personal elements zinafananaje, am here to learn as well, but so far so good I HAD NEVER EVER ATTACK ANY PERSON IN HERE PERSONALLY. usitake kunizushia tafadhali, wewe ni mtu wanne sijui unatoka team kiba with personal attacks ukireview back to what i have commented before your attack utakuta nilimzungumzia kiba au team kiba in general, labda uni preview on those comments nilizomuatack individual person.
Jamani hawajanizoea, wanisamehe bure, mimi ni mtu mzuri tu nawapenda wote, this is just a game, we have fun, jokes na ivo
thats all you can say, u said am to personal with my comments, i asked u one little thing, show were have i attack any jf member personally, mjadala uishe ukianza mipasho badala ya kuja na facts there is the point we missed each other, and i just cant help.Maneno mengiiii pointless!
"The more u speak the less they listen!"-Abrahman Quvert.
Too much energy kwa vitu vya kishabiki kama ivi.Huruma sana!
Take a chill! Relax sio vita ni starehe!
Mimi unanichosha na videsa vyakoπππ
Watu mnajijua mnapressure ya kushuka afu mnataka ushabiki mtazimikia nyuma ya keyboard bureeeee!
I can see unavotweta kwa hasiraaa! Yan unawekea moyoniii mwenyewe comments za humu.Pole sana shabiki wa diamond.π
thats all you can say, u said am to personal with my comments, i asked u one little thing, show were have i attack any jf member personally, mjadala uishe ukianza mipasho badala ya kuja na facts there is the point we missed each other, and i just cant help.
Sasa mpasho hapa shogangu uko wapi? Una maneno mengii mie yamenichosha.
take me were i have been too personal with my comments thats all i want, mimi mzaramo maneno mengi asili yangu, kazi kwako wewe mstaarabu, maneno machache and still u cant not show your point straight.
When you use worda such as;'husda',''roho mbaya' huwa naona una exxagurate sana.Maneno mengine mazito sana unakumbuka ulishawah kutamka mambo ya kifo na roho mbaya, sijui nyeusi eti ndo wanayo mashabiki wa Kiba.Kisa ushabiki! Thats way too much...uwii unataka kuwa kama wale wa IG.
Haya we mzaramo.Kumbe hatutamaliza hata mie mzaramo.
hata mimi nimegundua kuna pahala tunapishana kiswahili, ndio maana inakuwa tabu kuelewana, wewe na mimi sio wageni humu ndani hasa kwenye hizi team team, now tell me kuwa hujawahi ona jinsi watu wanavyomponda diamond kwa kila jambo liwe baya au nzuri, tellme hujawahi ona comment zenye matusi towards diamond, hujawahi ona comment zenye maneno kama NATAMANI DIAMOND AFULIE, NA SIKU SI NYINGI ATAMPFUATA MR. NICE KIJIWENI, na mengine moyo ambayo kimsingi ni mabaya, bahati mbaya sana hiki kitecno changu sijakijulia i could take you through all the comments sasa haya sio maneno ya chuki na husda???mbona sijawahi ona mkiwanyooshelea vidole, hao watu??? zaidi sana mnawagongea likes.
Sasa jamani mie namfagilia Kiba, wanaomponda diamond nikigonga like inatosha tu, sina haja ya kuanza kubwabwaja au kuwavaa au kumkandia kwa kila jambo coz deep within my heart sina chuki naye, ule ni uhasimu wa kimziki tu.So siwez kuwavaa team diamond wote kwa kumsema Kiba vibaya iyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Uhasimu upo tu.Ila usiwe ulopitiliza utazani tunalipwa kah!
Haya wanaomtukana Chibu wotee jela mwaka mzima.