Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ms.Lincoln embu njoo tu hapa manake mimi hata sijui niseme nini tena, nimesema team kiba mnamatatizo ukanipandishia povu, huyu aliyetuita mbwa hapa LIKES kwa sana, teeena wale wote vinara wa kujiita wastaarabu kutwa kuchwa kuninyooshea vidole mtoto wa mwenzenu wewe paula wewe unaroho mbaya sana, zenu ndio nzurii kwa kusupport matusi kama hayaaaaa????? hahahahahahaaaaaaaa embu mnipisheeeee mie!!! kujitambua na kwenyewe ni shdraaaaaaa!!!!
Mi nakushangaa sana.Ukiona mtu katukana deal naye yeye wacha kupandwa mizuka na mashetani! Kama hujamzoea warumi basi pole.
Last edited by a moderator: