Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
hivi ankal ile the guide wewe uliisoma?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo wangapi hubby?
hivi ankal ile the guide wewe uliisoma?
nataka niwe nyumba ndogo yako
hahahahaha abomination mate....
Mzee sasa hizo I love you si lazima uzilipie maana za bure nyumbani kwako umezikimbia sasa inabidi ulipie ili uone thamani yake. Kwa bahati mbaya unawalaani hao nyumba ndogo kwani msingezitafuta zingekuwepo. Huko bwana hakuna cha bure hadi salamu inalipiwa. Ile kumpa mkono tu lazima utoe pesa maana akitoa bure utadharau kama unavyodharau vya home kwako. hapa mwenye kulaaniwa ni wewe mzee usojiheshimu na kuipenda familia yako. Sasa hizo laana zinaanzia kwako mwisho kwa small house. Tena wamama wote ambao wanajua waume zao wana small house nao waanzishe utaratibu wa kuwalipisha mababa wa aina yako yaani mgaramie huduma zote mtakazohitaji toka kwao. Ukitaka maji ya kuoga unaweka pesa kwanza ndio unapelekewa na ukitaka ile huduma nyingine hiyo lazima utoe dau kubwa kabla ya shughuli yenyewe. Hii itawasaidia kuwathamini wake zenu.Kujivua gamba nimeshindwa. Wananiona kama Boya. I love you nyingi kumbe za wizi.
amu na Azote mnapata shida gani kwa huyu mtu??
huyu ni yule THE BOSS wa nsee a muro kazi ipo sasa ngoma ndo mbichi ngoja nitafute soda na pocorn nitafune mie
We acha tu wamempa maneno hapa kama wa kuacha ataacha yaani hakuna aliempa ushirikiano lol. Wazee wa hivi ni majanga kwa familia halafu ndio wa kwanza kullaani watoto wao wanapowanyima misaada inapofika zamu yao.Hahahah, kama nakuona vile;,ila ungejilaani na wewe na akili zako za kushikiwa ingekuwa vyema.
swtlo hivi unakumbuka kesho ni siku gani vile??
sweetlo kesho ni j2-1, siku nzuuri kabisa vipi twende mkuranga?
Shikamoo kaka mkubwa...... U kimya sana!