Mlozii mpe zindiko huyo.Wanatest mitambo kwa ajili ya location ya sherehe za jumuiko la mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
nielezee vizuri ndugu mshana elimu hiyo sina kabisaWanatest mitambo kwa ajili ya location ya sherehe za jumuiko la mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
1. siku za karibuni nimekua mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo hua siikumbuki ilikuaje, nakua na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko pekeako katika chumba,
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kua nini? Nifanyeje?
Sina lingine lisilo na madhara zaidi ya chumvi ya maweMlozii mpe zindiko huyo.
ni nyumba yako?1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Wanga na wachawi huwa na sherehe za mwaka na huanzia October mpaka December, sasa mara nyingi sherehe kama hizi hupenda kuzifanyia nje ya vilinge vyao wanavyokutania kila wakati..nielezee vizuri ndugu mshana elimu hiyo sina kabisa
Mbona jambo la msingi kuwa umejenga hukuweka ktk Uzi wako...Nimejenga mkuu, nikapange niache nyumba?
Hahhaha kazi Yao ndogo mbn unawakamata simple tu🤣🤣🤣1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Hapa kwangu naishi, japo nilipojenga ilikaa muda kadhaa bila ya kuishi mtu, ingawa hapa kwangu hapana vurungu nyingi mana familia sio kubwa, nifanyenye kaka? naomba suluhisho lisilohusisha tunguli wala lamliWanga na wachawi huwa na sherehe za mwaka na huanzia October mpaka December, sasa mara nyingi sherehe kama hizi hupenda kuzifanyia nje ya vilinge vyao wanavyokutania kila wakati..
Hizi sherehe kulingana na uhitaji wao hupenda kuzifanyia kwenye majumba ya watu hasa kama nyumba baadhi ya vyumba havina wakaaji ama kama mazingira ya nje yanawafaa
Kuna watu wana utulivu na nguvu za kiroho sasa wanapopita kwenye hizo nyumba zao hupigwa shoti ama hupata upinzani hivyo hawarejei tena hapo
Sent using Jamii Forums mobile app