FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sifahamu aisee [emoji23]Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Kumbeeee, aiseeeKwa uzoefu wangu... Mlango wa sebule ulikuwa ukitumika wakija home wageni wa heshima tu!
Nb; Na kivyovyote vile ilikuwa lazima kuku awe kitoweo siku iyo..!
Ndo ivyo Mkuu..!Kumbeeee, aiseee
Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Kwa hiyo inawezekana mleta uzi sio mgeni wa heshima kabisaKwa uzoefu wangu... Mlango wa sebule ulikuwa ukitumika wakija home wageni wa heshima tu!
Ukuona hivyo jua huna hadhi ya kukaribishwa sebuleniKuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Hii hutokana na kwamba mara nyingi shughuli nyingi hufanyika upande wa nyuma au upande wa jikoni wa nyumba na hivyo kufanya upande huo kua salama zaidi kuliko upande wa mbele au upande wa sebuleni. Na hivyo kufungua mlango wa mbele au sebuleni ni hatari zaidi kwani ni mara chache watu kuwepo sebuleni au upande wa mbele wa nyumba. Na hasa ukisaulika kufungwa wakati watu hawapo sebuleni au upande wa mbele wa nyumba.Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji848]Tena umenikumbusha keshokutwa nikirudi nikauchomelee ule mlango mmoja wa mbele, maana huyu kijana wangu wa 7 kuzaliwa ashauvunja bawaba kwasababu ya kuning'inia kama konda wa daladala za tandale...[emoji2955]