kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mtu anayepitishwa mlango wa jiko means huheshimiwi totally
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwel hata mimi natumia mlango wa jikoni sijui shida ni nini lakin kuna wakat nakasirika kuzunguka kufuata kitu ndan wakati ningepita chap kwa haraka mlango wa mbeleHii ipo ninapokaa, ninaishi nyumba ya upande wa nyuma kwenye geti dogo ila mbele kuna nyumba kubwa wanayoishi walionipangisha.
Lakin cha ajabu hawatumii mlango wao wa mbele ili watumie geti kubwa matokeo yake wanatumia mlango wa jikon so wote tunajikuta tunatumia geti dogo...
Sometime unakuja na babe wako ile unafungua tu geti unawakuta wamekaa kwenye kibalaza cha kuingia ndani kupitia jikoni.
Inaniboa sana..[emoji1785]
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Kuepuka uchafu /sebule kuchafuka .Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Umesahau kuwa haufunguliwi ovyo ili kuwazuia wapiga chabo kuona vilivyopo sebuleni ili usiku waje kuvishughulikiaMlango mkubwa huwa hatumiki kwasababu
1. Usafi,
2. Unasumbua kufunga na kufungua
3. Ukifunguliwa unaonesha uwazi wa sebule na kushawishi michezo ya watoto kukimbilia nje
4. Kiusalama ni vigumu kumonitor mlango wa mbele ...
5. Zawadi na vikalagos ni rahisi kuvidrop jikon
6. Ni rahisi kuwazoom wagen uliowakuta kwa kupitia jikon
Duuuh! Mkuu Kumbe nawewe unawatoto? Yaani hilo loaidi lako huwa nakuchukulia oyaoya sanaNiliwahi kupiga marufuku wanangu kutumia mlango wa jikoni wakiwa wanatoka shule. Maana nimekua napenda kuwaona kila wanapo ondoka na kurejea kutoka shuleni, hivyo maranyingi mlango wa mbele hutumika kuliko wa jikoni.
mazoeaKuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Yes chief, hadi sasa tunao jumla ya watoto 8. Na wakubwa wapo kidato cha tano.... and they are all happy...☺😊Duuuh! Mkuu Kumbe nawewe unawatoto? Yaani hilo loaidi lako huwa nakuchukulia oyaoya sana
Pamoja na sababu zingine lakini pia hata nyumba ikishajengwa tayari kama kunatokea uhaba wa milango basi utaanza kuwekwa wa nyuma then wa mbele, hivyo basi kutokana na hali hiyo kunajengeka mazoea ya kutumia mlango wa jikoni.Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Jenga yako ufanye unavyotakaHii ipo ninapokaa, ninaishi nyumba ya upande wa nyuma kwenye geti dogo ila mbele kuna nyumba kubwa wanayoishi walionipangisha.
Lakin cha ajabu hawatumii mlango wao wa mbele ili watumie geti kubwa matokeo yake wanatumia mlango wa jikon so wote tunajikuta tunatumia geti dogo...
Sometime unakuja na babe wako ile unafungua tu geti unawakuta wamekaa kwenye kibalaza cha kuingia ndani kupitia jikoni.
Inaniboa sana..[emoji1785]
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
We hujui mlango wa mbele ni wa baba tu?Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
IntrestingTatizo ni mlango wa mbele kutokea moja kwa moja sebuleni. Ungekuwa unatokea kwenye kaspace(foyer) ingekuwa haina tatizo.
Mzee hio itakuwa ni coincidence yako tuKuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Tatizo ni mlango wa mbele kutokea moja kwa moja sebuleni. Ungekuwa unatokea kwenye kaspace(foyer) ingekuwa haina tatizo.