Hivi hata kama unahudumia mama anaweza kukubali unahudumia?Tusidanganye
Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!
Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?
Kunywa soda crate zima ntalipa. Wanajitia ufahamu. Kwahiyo mwanaume akiwa mzinifu, akiwa anamtesa mwanamke huyo hana shida ila shida ni mwanamke. What is wrong with humansDaaàah hivi unajua watoto wengi waliotelekezwa na baba zao ni watoto wa mpango kando, yaaaan wengi wao ni baba kamuongopea mwanamke.ommy dimpoz baba alikua ana familia teyari, diamond baba yake teyari alikua ana familia tena baba wote wawili,same to majaliwa.
Mmejaa lawama kwa wanawake eti ndo sababu.hamjiskii vibaya,hamuoni aibu kuwanyooshea vidole mama zenu kila siku.kuna mwanamke hapendi kuona watoto wake hawalelewi na wazaz wote??acheni utoto na kujitoa faham.sikia story za pande zote mbili ndo muanze kubwabwaja.
Hufahamu Sisi Akina Baba baada ya kutimiza miaka 55 hutakiwi kukaa na mwanamke?, endapo kama unataka kuishi zaidi, endapo huyapendi maisha yako komaa kuishi naye!,Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama dimpoz na diamond.
Kuna kitu kina mama huwa wanasababisha ambacho wazee wanaona Bora kukaa pembeni na kuwaacha watoto na mama yao ila bado anaondoka anawapenda watoto hali tu ya yule mama ndio inamkwaza.
Sidhani! Umri huo ndiyo wa kukaa na mke.Hufahamu Sisi Akina Baba baada ya kutimiza miaka 55 hutakiwi kukaa na mwanamke?, endapo kama unataka kuishi zaidi, endapo huyapendi maisha yako komaa kuishi naye!,
#NOTE THIS KEENLY
Mapenzi ya dhati ya mume na mke huwa within 30-45,mkishapata watoto 3,4 huwa ni fita kubwa ya umauti, kaa mbali upendo huamia kwa watoto na Baba huonekana hana faida tena na Mama hutafuta dogodogo hata jambo dogo tu hili ulifahamu?Sidhani! Umri huo ndiyo wa kukaa na mke.
Siyo kila anayeandika hapa amesimuliwaDaaàah hivi unajua watoto wengi waliotelekezwa na baba zao ni watoto wa mpango kando, yaaaan wengi wao ni baba kamuongopea mwanamke.ommy dimpoz baba alikua ana familia teyari, diamond baba yake teyari alikua ana familia tena baba wote wawili,same to majaliwa.
Mmejaa lawama kwa wanawake eti ndo sababu.hamjiskii vibaya,hamuoni aibu kuwanyooshea vidole mama zenu kila siku.kuna mwanamke hapendi kuona watoto wake hawalelewi na wazaz wote??acheni utoto na kujitoa faham.sikia story za pande zote mbili ndo muanze kubwabwaja.
You seem less informed! Kitendo cha mwanaume kuacha mji wake ni kigumu mno. Hivyo ukiona mwanaume kaacha mji ujue limefika shingoni na busara ni kuondoka.Yani imefika hatua hadi wanaume tunatafuta sympathy. Hii ni aibu kubwa sana.
Ujana wako hujafanikiwa, uzeeni unakuja kusumbua jamii ikuonee huruma mwanao akusaidie!!
Hii ya kusema eti wanawake wanazingua sana hivyo unamwachia kila kitu hadi watoto kweeelii.??
Mfano huyo mzee wake majaliwa alimwachia kila kitu, kila kitu gani??, hao watoto kibao au kitu gani?
Aliezingua sio mtoto ni mama. Sasa kwanini umtelekeze mtoto sehemu usiyojua damu yako itaishije??
Ni mwanaume mpumbavu anaetelekeza damu yake kisa mwanamke.
Umezungumza ukweli "Tusitelekeze watoto kwa visa vya kina mama" Tuwalee watoto wetu kwa ukamilifu mpaka pale watakapoweza kujitegemea binafsi.,concentrates kwa watoto na si kwa mwanamke mkorofi na mzinzi.Yani imefika hatua hadi wanaume tunatafuta sympathy. Hii ni aibu kubwa sana.