BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Ukifanikiwa kumhudumia kuanzia mdogo nakuhakikishia hakuna sumu itafanya kazi mana hawa tunaowaona wadogo wanaelewa mambo mengi,shida ni moja sumu inafanya kazi mana mtoto anaona kabisa baba haji wala ela hatumi sasa hapo si hata wewe ukijazwa sumu utazimeza kabisa na zitakujaa kwenye system yako yote ya mwili?Hivi hata kama unahudumia mama anaweza kukubali unahudumia?
Lakini pia wanaume inatupasa kuwa karibu na watoto ingawaje wanajazwa sumu sana.
Lakini Dunia iko upande wa kina mama sasaNyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond.
Kuna kitu kina mama huwa wanasababisha ambacho wazee wanaona Bora kukaa pembeni na kuwaacha watoto na mama yao ila bado anaondoka anawapenda watoto hali tu ya yule mama ndio inamkwaza.
Wapi wanapogundua Mwanaume ana nafasi?Mwanamke akiwezeshwa anaweza.
Kampeni ya usawa wa kijinsia imefanikiwa asilimia 200%+.
Wanawake sasa wanashika usukani na hatimaye, wanashika na sharubu za wanaume.
Wamama sasa wanahisi wanaweza kuishi peke yao, ila baba akiondoka, wanagundua alooh! Kumbe bado mwanaume ana nafasi yake.
Kupanga ni kuchagua. Tumechagua kumwinua mwanamke, na ameinuka haswa!
Alamsiki!
Katika yote haya bado sijaona kosa la mtoto adi ukimbie na kumsahau mwanao!Wababa wanakimbia kutokana na sababu nyingi
1. mke mchawi
2.mke Malaya
3.mjeuri/mbishi
4.
5.
6
wanaume tuongezee points hapa
Hicho ni kisingizio tu, na bado utakua huna akili kama utatelekeza mtoto kisa mama yake ndgu yangu.You seem less informed! Kitendo cha mwanaume kuacha mji wake ni kigumu mno. Hivyo ukiona mwanaume kaacha mji ujue limefika shingoni na busara ni kuondoka.
Vinginevyo ni kumdhuru mke au familia
MbinafsiWababa wanakimbia kutokana na sababu nyingi
1. mke mchawi
2.mke Malaya
3.mjeuri/mbishi
4.
5.
6
wanaume tuongezee points hapa
"Yastahili kutunza watoto mpaka pale watakapojitegemea"pia kuhakikisha huyo mliyetengana nae hapati hata mia yako dadeki, yeye atatunzwa na ki - BEN 10 Kake!Hivi mkiachana Ndio usitume pesa za matumizi kwa wanao???wababa msipotunza watoto mtaisoma namba na ule msemo wenu eti mim ni baba tu
Mwingine anahudumia kila kitu lakin hamwambii mtoto babaako kaleta kitu flani atampa sumu tu,ndo mana wengine wanaamua ahh sitoi hata matunzo yenyeweTusidanganye
Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!
Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?
Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?
Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!
Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Wanawake ni wema sema mnatuvurugaga mpaka mwisho ndo unakuta mtu anakua shetaniHufahamu Sisi Akina Baba baada ya kutimiza miaka 55 hutakiwi kukaa na mwanamke?, endapo kama unataka kuishi zaidi, endapo huyapendi maisha yako komaa kuishi naye!,
Wanawake wema ni 2/10.
#NOTE THIS KEENLY
shetani hawezi kuwa shetani mara mbili.Wanawake ni wema sema mnatuvurugaga mpaka mwisho ndo unakuta mtu anakua shetani
mlopokajiWababa wanakimbia kutokana na sababu nyingi
1. mke mchawi
2.mke Malaya
3.mjeuri/mbishi
4.
5.
6
wanaume tuongezee points hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maandiko yanasema mwanamke kaumbiwa utii....mtupende ili tuwatii, sasa nyie mnatuvuruga kila saashetani hawezi kuwa shetani mara mbili.
nyie ni huyo huyo mmoja hamna jema mnatuliaga dakika mbili tu ila zilizobaki zote ni mapembe mwanzo mwisho.
kwanza hata mbinguni hakuna wanawake Mungu hapendi taabu.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wababa walitakiwa walielewe hilo kwanza kabisa maana wao mara nyingi ndio watorokaji.Nawaza kwa sauti tu kizazi tutakacho kiacha sijui kitakuwaje na maadili kwa
Hii biashara ya watoto wengi Sasa kulelewa na wamama.
Mimi mtu akijibu hivi sijui namuonaje.Nasema Uongo Ndugu Zangu
tunawapenda ndo maàna kati ya mamilioni unakuta anachaguliwa mmoja tu, Kuna upendo Gani mwingine kuliko huu jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maandiko yanasema mwanamke kaumbiwa utii....mtupende ili tuwatii, sasa nyie mnatuvuruga kila saa
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]bas tutawatii kuanzia leo, na hela msisahau kutupa[emoji41][emoji41][emoji1787]tunawapenda ndo maàna kati ya mamilioni unakuta anachaguliwa mmoja tu, Kuna upendo Gani mwingine kuliko huu jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app