Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

Hivi hata kama unahudumia mama anaweza kukubali unahudumia?

Lakini pia wanaume inatupasa kuwa karibu na watoto ingawaje wanajazwa sumu sana.
Ukifanikiwa kumhudumia kuanzia mdogo nakuhakikishia hakuna sumu itafanya kazi mana hawa tunaowaona wadogo wanaelewa mambo mengi,shida ni moja sumu inafanya kazi mana mtoto anaona kabisa baba haji wala ela hatumi sasa hapo si hata wewe ukijazwa sumu utazimeza kabisa na zitakujaa kwenye system yako yote ya mwili?
 
Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond.

Kuna kitu kina mama huwa wanasababisha ambacho wazee wanaona Bora kukaa pembeni na kuwaacha watoto na mama yao ila bado anaondoka anawapenda watoto hali tu ya yule mama ndio inamkwaza.
Lakini Dunia iko upande wa kina mama sasa
 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza.

Kampeni ya usawa wa kijinsia imefanikiwa asilimia 200%+.

Wanawake sasa wanashika usukani na hatimaye, wanashika na sharubu za wanaume.

Wamama sasa wanahisi wanaweza kuishi peke yao, ila baba akiondoka, wanagundua alooh! Kumbe bado mwanaume ana nafasi yake.

Kupanga ni kuchagua. Tumechagua kumwinua mwanamke, na ameinuka haswa!

Alamsiki!
Wapi wanapogundua Mwanaume ana nafasi?

In fact Mwanamke anaweza mudu ishi peke yake ila Mwanaume hawezi
 
You seem less informed! Kitendo cha mwanaume kuacha mji wake ni kigumu mno. Hivyo ukiona mwanaume kaacha mji ujue limefika shingoni na busara ni kuondoka.

Vinginevyo ni kumdhuru mke au familia
Hicho ni kisingizio tu, na bado utakua huna akili kama utatelekeza mtoto kisa mama yake ndgu yangu.

Na kama ni hivyo basi hupaswi kumfata tena mwanao akifanikiwa!!
Kinachotakiwa hapo basi umtafute mtoto akiwa tayari mtu mzima haijalishi hali yake/yako. Hilo ndio la msingi.

Lakini sio kusubiri mpaka atusue ndo ujitokeze, mtoto akiwa kibaka,shoga au jambazi utasema ni malezi mabovu ya mama yake hayo wewe huhusiki ila akifanikiwa unajibadili rangi tena. Upuuzi mtupu.
 
Hivi mkiachana Ndio usitume pesa za matumizi kwa wanao???wababa msipotunza watoto mtaisoma namba na ule msemo wenu eti mim ni baba tu
 
Wababa wanakimbia kutokana na sababu nyingi

1. mke mchawi
2.mke Malaya
3.mjeuri/mbishi
4.
5.
6
wanaume tuongezee points hapa
Mbinafsi
Hatosheki
Kila unalofanya kwake siyo
Kwa nini mgandane mpaka muanze kuombeana vifo?, stay apart relax, have 2,3 cold beer tafuta bidada lenye kiu ya mume na si ukae nayule aliyekifu!
 
Hivi mkiachana Ndio usitume pesa za matumizi kwa wanao???wababa msipotunza watoto mtaisoma namba na ule msemo wenu eti mim ni baba tu
"Yastahili kutunza watoto mpaka pale watakapojitegemea"pia kuhakikisha huyo mliyetengana nae hapati hata mia yako dadeki, yeye atatunzwa na ki - BEN 10 Kake!
 
Tusidanganye

Wewe na mimi tumeoana alafu tukashindwana kwa sababu zetu personal,haijalishi nani mkosefu!

Wewe ukaamua kuondoka,hivi kinachokuzuia kuhudumia watoto ni kipi adi usubiri afanikiwe ndo ujitokeze useme eti ni mwanao na unampenda?

Biblia inasema upendo hufadhili,wewe unajiita baba umeacha kumfadhili mwanao miaka 10+ alafu eti unasema unampenda ila mama yake ndo alikufanya usimsaidie?

Mtupumzishe jamani,mkiachana na wake zenu regardless of what lea watoto wako achana na visingizio visivyo na maana!

Mbona ulaya wanaachana ila bado baba analea watoto?au kwasababu sheria zao ni kali kuliko za kwetu?
Yani baba dizaini ya majaliwa ni wa kuchapwa viboko tu!
Mwingine anahudumia kila kitu lakin hamwambii mtoto babaako kaleta kitu flani atampa sumu tu,ndo mana wengine wanaamua ahh sitoi hata matunzo yenyewe
 
Wanawake ni wema sema mnatuvurugaga mpaka mwisho ndo unakuta mtu anakua shetani
shetani hawezi kuwa shetani mara mbili.

nyie ni huyo huyo mmoja hamna jema mnatuliaga dakika mbili tu ila zilizobaki zote ni mapembe mwanzo mwisho.


kwanza hata mbinguni hakuna wanawake Mungu hapendi taabu.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shetani hawezi kuwa shetani mara mbili.

nyie ni huyo huyo mmoja hamna jema mnatuliaga dakika mbili tu ila zilizobaki zote ni mapembe mwanzo mwisho.


kwanza hata mbinguni hakuna wanawake Mungu hapendi taabu.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maandiko yanasema mwanamke kaumbiwa utii....mtupende ili tuwatii, sasa nyie mnatuvuruga kila saa
 
Back
Top Bottom