Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

Hii alipewa na serikali au ni zile nyumba za serikali ambazo ziliuzwa kwa watumishi wake?

Maana Marehemu Mkapa ana nyumba pia ufukweni Masaki kule karibu na jeshi, nahisi kule ndipo alipojengewa na serikali...
Hii nyumba ni kipindi yuko waziri ,akipotoka madarakani akahamia masaki
 

Ukishakufa hakuna tena lako huku nyuma. Ukiacha mali halali unaweza kulala lwa amani. Imagine mali za kuunga unga halafu mjukuu anakuja na mambo yake ya this and that kibao
 
😀 😀 😀 😀 😀Maskini ya Mungu viongozi wetu. Wanatumia nguvu kubwa kutuongoza kwa ujira mdogo, kushindwa hata kumudu kupata kijumba cha kujihifadhi baada ya kustaafu.
Hahahahaha
 
Mara utakuta wasanii, mashehe( baadhi) na maaskofu wakiitwa wakafuturu hapo
 
Wangeifanya hata Museum ya Mzee mkapa...watu wajionee maisha yake A to Z, ila anyway sio vitu vyetu watanzania.
 
Watu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.

Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
Nyumba waliojengewa na serikali ipo masaki, msasani peninsula. Hio ya upanga aliinunua na kipato chake kidogo, mtaa huo huo pia alinunua nyumba yenye azania bank, zamani M bank kwa mkopo uliotolewa siku ya jumapili na Bank enibisi
Watu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.

Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…