Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na hisa kwenye kampuni ni ufisadi?Hiyo sawa kujadilika maana ni ufisadi
Nimejibu kisiasa tu... hata hiyo siyo mbaya kama sheria zilifuatwaKuwa na hisa kwenye kampuni ni ufisadi?
Hii nyumba ni kipindi yuko waziri ,akipotoka madarakani akahamia masakiHii alipewa na serikali au ni zile nyumba za serikali ambazo ziliuzwa kwa watumishi wake?
Maana Marehemu Mkapa ana nyumba pia ufukweni Masaki kule karibu na jeshi, nahisi kule ndipo alipojengewa na serikali...
Hata mie nashangaa.Nyumba ya kuishi inavyumba vingi kiasi Cha kutosha kuwa hotel?
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?
Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku ikiwekwa mabango ya Protea Hotel. Hii ni ishara kuwa nyumba hii imegeuzwa hoteli. Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo. View attachment 3261124 imegeuzwa kuwa hoteli
View attachment 3261124
Hahahahaha😀 😀 😀 😀 😀Maskini ya Mungu viongozi wetu. Wanatumia nguvu kubwa kutuongoza kwa ujira mdogo, kushindwa hata kumudu kupata kijumba cha kujihifadhi baada ya kustaafu.
Mke tena!!Watu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.
Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
watu wanatumia fursa
Na huu ndio ukomo wa uelewa wako chiefNafsi yako haikusuti kujiaminisha uongo?
Anataka na wanae marehemu wapewe kama hilo jengo, maana wameacha hawana kituHapo kwenye vipato vidogo hapo
Wangeifanya hata Museum ya Mzee mkapa...watu wajionee maisha yake A to Z, ila anyway sio vitu vyetu watanzania.NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?
Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku ikiwekwa mabango ya Protea Hotel. Hii ni ishara kuwa nyumba hii imegeuzwa hoteli. Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo. View attachment 3261124 imegeuzwa kuwa hoteli
View attachment 3261124
Yule maza wa kichaga yy kwake kila kitu ni businessNasikia benzi alilopewa limegeuzwa la kukodishia harusi kwenye misafara
Nyumba waliojengewa na serikali ipo masaki, msasani peninsula. Hio ya upanga aliinunua na kipato chake kidogo, mtaa huo huo pia alinunua nyumba yenye azania bank, zamani M bank kwa mkopo uliotolewa siku ya jumapili na Bank enibisiWatu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.
Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
Watu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.
Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
Tunachosikitika ni kwamba raisi anapostaafu hujengewa nyumba nyingine kwa pesa za umma. Wakati majumba wanayo mpaka mengine yanageuzwa mahoteli.Private property sioni kama ni habari ya kujadili