Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

Ya gigwete Ile ya kawe ukubwa wake hii ya mkapa iliyogeuzwa kuwa hoteli inaingia mara tatu.Tanzania ukiwa rais unaweza kujengewa jumba kubwa sawa na wilaya nzima na watu wakaona kawaida tu
 
Watu wameamua kutumia fursa, muhimu ni MAOKOTO.

Kwani mkewe anaishi nyumba ipi? Na iko sehemu gani?
Mke wake si yule Mchagga alimshauri wajenge Lushoto, Tanga njia ya kwenda kwao.

Atakuwa anakaa Lushoto.
 
Mke wake si yule Mchagga alimshauri wajenge Lushoto, Tanga njia ya kwenda kwao.

Atakuwa anakaa Lushoto.

Lushoto hawakujenga nyumba. Bali walijiuzia nyumba ya serikali pia.

Ilikuwa ni ikulu ndogo ya rais . Mkapa akaipenda na kujiuzia ikawa mali yake binafsi
 
kusema hii nyumba alikuwa nayo enzi na enzi Sio kweli. Mkapa hajui hata bei ya tofali la hiyo nyumba.

Hiyo nyumba ilikuwa mali ya serikali ilikuwa inatumika kama kota ya bosi wa TPA.

Mkapa alivyokuwa Rais ndipo alijiuzia ikawa mali yake binafsi
Thanks

Kwahiyo hii siyo aliyojengewa na serikali baada ya kustaafu

At least we agree on that
 
Back
Top Bottom