The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Mtoto akaze akidekezwa sana atajisahau 62mill kama ana connection mjini ni hela ndogo sana hiyo hakosi wa kumdhaminiBaba anakosa 62mil?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akaze akidekezwa sana atajisahau 62mill kama ana connection mjini ni hela ndogo sana hiyo hakosi wa kumdhaminiBaba anakosa 62mil?
Kuna sehemu imeandikwa anadaiwa Freeman Mbowe?Mbowe hajafanya poa. Kwenye ruzuku ya 2.7b alishindwa kuchomoa 62m na kulipa waandishi? Huyu ni kiongozi mbinafsi anyejijali peke yake na familia yake. Halafu kumbe Tanzania Daima ni mali yake binafsi na sio CHADEMA? Hakika huyu ni mjasiriamali na nyumbu ni mtaji wake.
Kwa hiyo mtoto angeshindwa kumpa mimba mkewe angelaumiwa Freeman Mbowe?Kwa nini hamjifunzi kutenganisha watu na majukumu yao?Baba anakosa 62mil?
Februari tokea lini ikawa na tarehe 30?Hivi shule mlijifunza ujinga.Na bado kuna wavimba macho wanaunga mkono.
Dawa ya Deni ni kulipa tu hakuna namna nyingine.Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imeamuru kukamatwa na kupigwa mnada nyumba ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko Mikocheni, ili kulipa deni la Sh62.7 milioni anazodaiwa na waliokuwa waandishi na wahariri wa gazeti hilo.
Sambamba na amri hiyo iliyotolewa na Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Mary Mrio, pia imemteua dalali wa kutekeleza amri hiyo, Jesca Massawe kutoka kampuni ya udalali ya MM Auctioneer & Debt Collectors.
Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo kufuatia maombi yaliyowasilishwa na waandishi hao, Maregesi Paul na wenzake tisa ili kutekeleza tuzo yao waliyopewa na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), katika shauri la mgogoro wa kikazi walilolifungua dhidi ya mwajiri wao huyo.
Akizungumza na Mwananchi, Paul amesema wakati amri hiyo inatolewa, Dudley ambaye ni mtoto wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema, hakuwepo mahakamani licha ya kwamba alikuwa ameahidi kuwa angefika na fedha za kuwalipa.
Kwahiyo baba mtu amekosa hiyo mil 62 akamlipia mwanae??Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imeamuru kukamatwa na kupigwa mnada nyumba ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko Mikocheni, ili kulipa deni la Sh62.7 milioni anazodaiwa na waliokuwa waandishi na wahariri wa gazeti hilo.
Sambamba na amri hiyo iliyotolewa na Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Mary Mrio, pia imemteua dalali wa kutekeleza amri hiyo, Jesca Massawe kutoka kampuni ya udalali ya MM Auctioneer & Debt Collectors.
Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo kufuatia maombi yaliyowasilishwa na waandishi hao, Maregesi Paul na wenzake tisa ili kutekeleza tuzo yao waliyopewa na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), katika shauri la mgogoro wa kikazi walilolifungua dhidi ya mwajiri wao huyo.
Akizungumza na Mwananchi, Paul amesema wakati amri hiyo inatolewa, Dudley ambaye ni mtoto wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema, hakuwepo mahakamani licha ya kwamba alikuwa ameahidi kuwa angefika na fedha za kuwalipa.
Hata kama ni mali ya Mbowe biashara ikishakuwa Limited kisheria hata liabilities zinaishia kwenye biashara tu hazifiki kuwa personalNi mali ya Mbowe
Hata hujaelewa unachojibuNi mali ya Mbowe
Angelipa waandishiAkifanya hivyo mnakuja kumnanga tena anatumia ruzuku kwa manufaa yake, binadamu hamueleweki
Kamuulize Mbowe na mwanae.Hapa mbona kuna utata? Yaani deni la kampuni halafu mmiliki ndio nyumba hake iuzwe
Sheria ya wapi hiyo??
Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, wa CMA nakuita tena Bonasia.Na mwandishi wetu
Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari.
Uamuzi huo wa mahakama umetolewa leo Februari 14/2024 mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio baada ya kupitia hoja za washinda tuzo katika Tume la Usuluhishi na Uamuzi(CMA) Julai 2023.
Shauri hilo namba 28461 la mwaka 2023, wadai Maregesi Paul na wenzake tisa dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe.
Akiwasilisha hoja mahakamani, Maregesi alidai Mkurugenzi Dudley baada ya wadai kushinda shauri alikubali kulipa lakini baadaye hakutekeleza makubaliano.
"Amekaidi kutulipa tumeona njia sahihi tumekubaliana tukamate nyumba yake namba 9 iliyopo Mtaa wa Feza, Mikocheni B barabara ya Chipaka,"alidai Maregesi.
Akitoa uamuzi huo Naibu Msajili Mrio, alisema mahakama inatoa amri ya kukamata nyumba namba tisa, iliyopo Mtaa wa Feza, Mikocheni B.
"Mahakama inatoa amri ya kukamata nyumba na imemteua Dalali wa Mahakama, Jesca Massawe kutoka Kampuni ya Udalali ya MM Auctioneer &Debt Collectors,"alisema.
Baada ya uamuzi huo, mahakama iliahirisha shauri na kulipanga Machi 4 mwaka huu kwa ajili ya kupata taarifa ya utekelezaji wa amri hiyo
Walalamikaji hao walipata tuzo Julai 17 mwaka 2023 mbele ya Mwenyekiti wa CMA, Bonasia Mollel.
Madai ya awali yalikuwa jumla ya Sh milioni 114 baada ya kukaa mezani kwenye majadiliano kwa pamoja kiwango hicho cha fedha kilishuka na kufikia Sh milioni 62.7.
Dudley alikubali kulipa fedha hizo kwa awamu tatu, Oktoba 30, Desemba 30 mwaka 2023 na awamu ya mwisho ilikuwa Februari 30 mwaka huu lakini hakulipa.
Katika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe aliwaita wahariri wa Gazeti la Tanzania Daima ambao ni miongoni mwa wadai nyumbani kwa wakurugenzi wa Gazeti hilo, Dudley na Lilian Mtei.
Wahariri waliokutana na Mbowe Desemba 20 na 21 mwaka jana ni Maregesi, Fidelis Felix, Arodia Peter na Exuperius Kachenje, katika majadiliano hayo, Mbowe alikubali kulipa madai ya wafanyakazi hao mwishoni mwa Desemba lakini hakufanya hivyo hadi sasa.
Watakua wame-lift veil mkuu, wameshika mali ya director au owner sababu nae huenda alikuwa anaamini kuwa liabilities zinatakiwa kuishia kwenye kampuni tuHapa mbona kuna utata? Yaani deni la kampuni halafu mmiliki ndio nyumba hake iuzwe
Sheria ya wapi hiyo??
vipi kama nyumba imeandikishwa jina la kampuni ili kukwepa kugawana mali siku za mbele na mtaliki ?Hata kama ni mali ya Mbowe biashara ikishakuwa Limited kisheria hata liabilities zinaishia kwenye biashara tu hazifiki kuwa personal
Au jina la Free Media Limited ni swaga tu.
Hela kwa ajili ya chama itumike kwa ajili ya shughuli binafsi aisee kichwa kikubwa ni adhabu kwa miguuMbowe hajafanya poa. Kwenye ruzuku ya 2.7b alishindwa kuchomoa 62m na kulipa waandishi? Huyu ni kiongozi mbinafsi anayejijali peke yake na familia yake. Halafu kumbe Tanzania Daima ni mali yake binafsi na sio CHADEMA? Hakika huyu ni mjasiriamali na nyumbu ni mtaji wake.
Angelipa waandishi
Mbowe ndo chama kama ulikuwa hujuiHela kwa ajili ya chama itumike kwa ajili ya shughuli binafsi aisee kichwa kikubwa ni adhabu kwa miguu
Sijui kama manyumbu wa chadema wameelewa kitu?. Yaani gazeti wanalofikiri au lilipaswa kua la chadema kumbe ni mali ya familia ya freeman mbowe. Mtu mbinafsi na mpigaji ndio anaongoza cdm hadi dahari🚶🚶🚶Mbowe hajafanya poa. Kwenye ruzuku ya 2.7b alishindwa kuchomoa 62m na kulipa waandishi? Huyu ni kiongozi mbinafsi anayejijali peke yake na familia yake. Halafu kumbe Tanzania Daima ni mali yake binafsi na sio CHADEMA? Hakika huyu ni mjasiriamali na nyumbu ni mtaji wake.
NI kweli unachosema100%Duh aiseee. Ingekua enzi za JPM lawama kibao zingemdondokea