Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

Kuna sehemu imeandikwa anadaiwa Freeman Mbowe?
 
Februari tokea lini ikawa na tarehe 30?Hivi shule mlijifunza ujinga.Na bado kuna wavimba macho wanaunga mkono.

Nafikiri unawahoji watoa hukumu,nimemrejea tarehe za malipo ya hukumu
 
Dawa ya Deni ni kulipa tu hakuna namna nyingine.
 
Kwahiyo baba mtu amekosa hiyo mil 62 akamlipia mwanae??
 
Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, Bonasia Mollel, wa CMA nakuita tena Bonasia.

Haya!
 
Hata kama ni mali ya Mbowe biashara ikishakuwa Limited kisheria hata liabilities zinaishia kwenye biashara tu hazifiki kuwa personal
Au jina la Free Media Limited ni swaga tu.
vipi kama nyumba imeandikishwa jina la kampuni ili kukwepa kugawana mali siku za mbele na mtaliki ?
 
Hela kwa ajili ya chama itumike kwa ajili ya shughuli binafsi aisee kichwa kikubwa ni adhabu kwa miguu
 
Sijui kama manyumbu wa chadema wameelewa kitu?. Yaani gazeti wanalofikiri au lilipaswa kua la chadema kumbe ni mali ya familia ya freeman mbowe. Mtu mbinafsi na mpigaji ndio anaongoza cdm hadi dahari🚶🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…