Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

CCM inatengeneza majangili tupu
 
Kwa nyakati hizi ukiwa kwenye Ofisi za umma na hauibi ujitakirishe unaonekana mshamba.
Kwanza huwezi ukakaa na wezi halafu usiwe mwizi. Nani hataki kujenga hekalu kama hela za bure bure zipo ni kusaini makaratasi tu.๐Ÿคฃ

Hivi utakaaje kijinga wakati wenzio unaona wanafanya maendeleo makubwa japo kwa udokozi.
 
Kwani kutukuza ujamaa ambao sio tuu ndio Chanzo Cha wizi Bali ndio mzizi wa umaskini na incompetence ya Watanzania,hakuna mtu angependa kuendelea na utaratibu wa hivyo.
 
Yaani inavuja au!?
 
Kama naona hela za mafao wanavyopigania
 
Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono na miguu.

Mtu mweusi ana kasumba ya kipumbavu sana kwamba ukijenga jumba kubwa la kifahari na gorofa labda eti ndio inakupa hadhi jambo ambalo ni totally wrong.

Mtu atapata Heshima kulingana na mchango wake kwenye jamii na namna anavyoji associate nao.

Hayo mambo mengine hayaongezi thamani ya humanity ya mtu ,unaweza ukafa na mapesa Yako baada ya kuzikwa ukasahaulila kama mzoga.
 
ALiondoka miaka mingi sana kwenye hiyo nyumba na baada ya ukaondoka tu hata walinzi waliokuwa wanalinda hapo wakaondoka.

Kiufupi kwa eneo hilo kwa miaka aliyokuwapo ilikuwa ni moja ya nyumba bora sana.

KWa msuguri imekuwa kwa haraka sana lkn ni ndani ya miaka 2005 na kuendelea.
 
M
Mleta uzi anamawazo ya kijamaa
 
Unamawazo ya kimasikini.

Hii kitu inatakiwa ikemewe kabisa. Mtu akipata fursa anatakiwa aitumie ilete matunda kwake na kwa jamii inayomzunguka.

Mtu unakaa maisha ya ajabu ajabu afu unakuta jitu linakuja kusifia hapa.. afu likienda kwenye magorofa linapiga picha na kuji snap snap.. unafiki sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ