House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

Unadhani nitapata ngapi mkuu
Mimi sio mtaalam, ni kwamba nalijua hilo eneo kando kando na barabara ya kwenda White Sands. Kuna mzee aliuza eneo lake maeneo hayo hayo ila ndani ndani kidogo kwa milioni 420, ila enzi za mkwere. Sijui kwa sasa.
 
Okay sawa
 
Milioni 300 utapata tofauti na Hapo aanze kufugia kuku sababu hilo Ni banda kabisa. Pale Makonde Kuna ghorofa Moja Kali sana Ina miaka Minne Haijapata mteja na Ni Kali hasa. Watu Wengi wananunua wanajenga wenyewe hela za kupiga Mtu aje hapo amwage Hamna Tena.
 
Nyumba ina vyumba 4 vyote ni self,
Size plot 2300 sqm

Nyumba imefes lami inayoenda whites and hotel
Na pia iko jirani na Giraffe hotel

Panafaa kujenga Hotel,Apertment, supermarket, huduma za kijamii kama msikiti,kanisa
Au makazi pia..nk
Mita 200 kutoka beach

Bei 370,000/= USD

Mawasiliano na kuja kuona wasiliana nami kwa

+255756060183
View attachment 861461View attachment 861462View attachment 861463
Wacha uwehu hiyo price ni ile mijumba ya lugumi sio hicho kibanda
 
Milioni 300 utapata tofauti na Hapo aanze kufugia kuku sababu hilo Ni banda kabisa. Pale Makonde Kuna ghorofa Moja Kali sana Ina miaka Minne Haijapata mteja na Ni Kali hasa. Watu Wengi wananunua wanajenga wenyewe hela za kupiga Mtu aje hapo amwage Hamna Tena.
Maeneo gani mkuu
 
Mkuu katika uuzaji wa nyumba inategemeana kwanza na ukubwa wa plot na pili iko meneo gani

Hii nyumba iko kwenye eneo la kibiashara na si makazi tu

Hiyo nyumba ya mbezi makonde unayosema kwanza plot yake ni 450sqm na pili bei yake si chini ya 600m, endelea kuwadanganya wenzio wasiojua
 
Haya...uza mil 800
Bei hizi watu wanapanga tu wanajisemea vyuma vimekaza balaa. Makontena ya makontena thamani ya mzigo haifiki milioni 60 wao wanafosi wauze hivyo. Kwenye uchumi demand and supply Ndio hupanga bei kwa Sasa bei za viwanja zimestack na zinashuka. Watu wananunua viwanja wanajenga kwa hilo gofu hapo ndugu yangu unajidanganya. Kiwanja Pokea milioni 200 na Hiyo Nyumba kwa Huruma Fanya 100. Hata za lugumi zilikwama na zilikua classic hakupata Hiyo Pesa Hebu jiongeze basi Broo.
 
Mimi sio mtaalam, ni kwamba nalijua hilo eneo kando kando na barabara ya kwenda White Sands. Kuna mzee aliuza eneo lake maeneo hayo hayo ila ndani ndani kidogo kwa milioni 420, ila enzi za mkwere. Sijui kwa sasa.
Sasa hivi hali tight tena mda unavozidi kwenda ndo hali inatisha sana aisee, bora Mtu uvumilie tu.
 
Huwezi kuwa serious wewe......mill 800......wewe hivi iliona ile mijumba alionunua Dr shika? Itafanana na hyo inayotuonesha hapo?
 
Back
Top Bottom