squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Kiwanja eneo hilo sidhani hata kwa milioni 500 kama unaweza pata.Hilo jengo mpaka limefikia hapo alizidi milion 70,kwa nini unauza bei kubwa?au kiwanja ndio kiko juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanja eneo hilo sidhani hata kwa milioni 500 kama unaweza pata.Hilo jengo mpaka limefikia hapo alizidi milion 70,kwa nini unauza bei kubwa?au kiwanja ndio kiko juu
Unadhani nitapata ngapi mkuuKiwanja eneo hilo sidhani hata kwa milioni 500 kama unaweza pata.
Mimi sio mtaalam, ni kwamba nalijua hilo eneo kando kando na barabara ya kwenda White Sands. Kuna mzee aliuza eneo lake maeneo hayo hayo ila ndani ndani kidogo kwa milioni 420, ila enzi za mkwere. Sijui kwa sasa.Unadhani nitapata ngapi mkuu
Okay sawaMimi sio mtaalam, ni kwamba nalijua hilo eneo kando kando na barabara ya kwenda White Sands. Kuna mzee aliuza eneo lake maeneo hayo hayo ila ndani ndani kidogo kwa milioni 420, ila enzi za mkwere. Sijui kwa sasa.
Wacha uwehu hiyo price ni ile mijumba ya lugumi sio hicho kibandaNyumba ina vyumba 4 vyote ni self,
Size plot 2300 sqm
Nyumba imefes lami inayoenda whites and hotel
Na pia iko jirani na Giraffe hotel
Panafaa kujenga Hotel,Apertment, supermarket, huduma za kijamii kama msikiti,kanisa
Au makazi pia..nk
Mita 200 kutoka beach
Bei 370,000/= USD
Mawasiliano na kuja kuona wasiliana nami kwa
+255756060183
View attachment 861461View attachment 861462View attachment 861463
Kwahyo hii bei gani?Wacha uwehu hiyo price ni ile mijumba ya lugumi sio hicho kibanda
Unaonekan hujawahi hata kujenga nyumbaKwahyo hii bei gani?
Ndio maana nikakuuliza mkuu wewe uliye na uzoefu wa ujenzi unaona tuuze bei gani?Unaonekan hujawahi hata kujenga nyumba
Maeneo gani mkuuMilioni 300 utapata tofauti na Hapo aanze kufugia kuku sababu hilo Ni banda kabisa. Pale Makonde Kuna ghorofa Moja Kali sana Ina miaka Minne Haijapata mteja na Ni Kali hasa. Watu Wengi wananunua wanajenga wenyewe hela za kupiga Mtu aje hapo amwage Hamna Tena.
Mkuu katika uuzaji wa nyumba inategemeana kwanza na ukubwa wa plot na pili iko meneo ganiMilioni 300 utapata tofauti na Hapo aanze kufugia kuku sababu hilo Ni banda kabisa. Pale Makonde Kuna ghorofa Moja Kali sana Ina miaka Minne Haijapata mteja na Ni Kali hasa. Watu Wengi wananunua wanajenga wenyewe hela za kupiga Mtu aje hapo amwage Hamna Tena.
Mkuu kwa maeneo hayo hata kiwanja tupu bado hujapata.Hii hapa milioni 300 tu
Haya...uza mil 800Mkuu kwa maeneo hayo hata kiwanja tupu bado hujapata.
OkHaya...uza mil 800
Sio nyumba tu bali na kila kitu kilichomo ndani yake...USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani.
Bei hizi watu wanapanga tu wanajisemea vyuma vimekaza balaa. Makontena ya makontena thamani ya mzigo haifiki milioni 60 wao wanafosi wauze hivyo. Kwenye uchumi demand and supply Ndio hupanga bei kwa Sasa bei za viwanja zimestack na zinashuka. Watu wananunua viwanja wanajenga kwa hilo gofu hapo ndugu yangu unajidanganya. Kiwanja Pokea milioni 200 na Hiyo Nyumba kwa Huruma Fanya 100. Hata za lugumi zilikwama na zilikua classic hakupata Hiyo Pesa Hebu jiongeze basi Broo.Haya...uza mil 800
Sasa hivi hali tight tena mda unavozidi kwenda ndo hali inatisha sana aisee, bora Mtu uvumilie tu.Mimi sio mtaalam, ni kwamba nalijua hilo eneo kando kando na barabara ya kwenda White Sands. Kuna mzee aliuza eneo lake maeneo hayo hayo ila ndani ndani kidogo kwa milioni 420, ila enzi za mkwere. Sijui kwa sasa.