House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa Mtoni Kijichi

House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa Mtoni Kijichi

bi mkubwa kashusha bei zaidi, karibuni
 
BEI IMESHUKA ZAIDI
nyumba inapatikana mtoni kijichi karibu na maghorofa ya jwtz.
MAELEZO husika.
1. ina vyumba vinne na vyote ni master bedrooms.
2. ina chumba cha kufulia
3.ina chumba cha kuwekea nguo (chumba cha kupigia pasi)
4.ina sebule kubwa na sehemu ya kupatia chakula.
5. ina hati miliki yenye ukomo wa miaka 33.
6. ina eneo lenye ukubwa wa square meter 1668

PRICE : 350 (neg)

contact : 0756 832833

View attachment 865483View attachment 865482View attachment 865484View attachment 865485View attachment 865486View attachment 865488View attachment 865490View attachment 865489View attachment 865491View attachment 865492
Yani jumba lote hili linauzwa 350 tu? Basi mimi nakupa JERO hata ukitaka BUKU nakupa, haya sema ntakupataje nimiliki hili jumba?
 
Ninavyopeda nyumba mimi,ningepata wa kuninunulia hiyo nyumba ningempenda kwa moyo wangu wote
Katoe moyo uniletee kwenye bakuli nyumba utapata tu mama hakuna shida...! Sitaki utapeli eti unipe moyo huku unaotumboni mwako..
 
Back
Top Bottom