Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Njoo ujibu kesiNinavyopeda nyumba mimi,ningepata wa kuninunulia hiyo nyumba ningempenda kwa moyo wangu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ujibu kesiNinavyopeda nyumba mimi,ningepata wa kuninunulia hiyo nyumba ningempenda kwa moyo wangu wote
Ipi tena jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo ujibu kesi
Kutafuta mtu wa kukunulia nyumbaIpi tena jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ninunulie basi hili ghorofa tumalize huu mzozoKutafuta mtu wa kukunulia nyumba
Afu unanifanyia hivi kisa nakaa kwenye nyumba ya mzee ?
[emoji16]hilo labda niuze figo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ninunulie basi hili ghorofa tumalize huu mzozo
Sh ngapi!?bei imeshuka wakuu
bi mkubwa kakwama
Dear komaa kuuza matunda Na vitumbua one day tumiiliki kibanda chetuPazuri nimepapenda sema bei yake...
Hadi ngapi?bi mkubwa kashusha bei zaidi, karibuni
[emoji3][emoji3]vp sasa hilo gorofaNimerudi
Lazima akwame mambo magumu hayabei imeshuka wakuu
bi mkubwa kakwama
Yani jumba lote hili linauzwa 350 tu? Basi mimi nakupa JERO hata ukitaka BUKU nakupa, haya sema ntakupataje nimiliki hili jumba?BEI IMESHUKA ZAIDI
nyumba inapatikana mtoni kijichi karibu na maghorofa ya jwtz.
MAELEZO husika.
1. ina vyumba vinne na vyote ni master bedrooms.
2. ina chumba cha kufulia
3.ina chumba cha kuwekea nguo (chumba cha kupigia pasi)
4.ina sebule kubwa na sehemu ya kupatia chakula.
5. ina hati miliki yenye ukomo wa miaka 33.
6. ina eneo lenye ukubwa wa square meter 1668
PRICE : 350 (neg)
contact : 0756 832833
View attachment 865483View attachment 865482View attachment 865484View attachment 865485View attachment 865486View attachment 865488View attachment 865490View attachment 865489View attachment 865491View attachment 865492
una chura ?Ngoja lile danga langu la ulaya lirudi ntaichukua hyo ghorofa yote
Amenipenda hiv hivi flatuna chura ?
Ndo nauliza imeshuka hadi ngap nmtaarifuwew si bado unasubiri mpaka lirudi ( d. a. n. g. a)
itakua imeshuka zaidi.
Katoe moyo uniletee kwenye bakuli nyumba utapata tu mama hakuna shida...! Sitaki utapeli eti unipe moyo huku unaotumboni mwako..Ninavyopeda nyumba mimi,ningepata wa kuninunulia hiyo nyumba ningempenda kwa moyo wangu wote