Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada


King maker atakuwa hajaiona kweli hii, ngoja nimtumie what's up, alafu sijui atasoma labda kesho maana gas business inachanganya sana, King maker akiona hii lazima anunue au yule jamaa Fida Hussein mwenye properties zote hizo nyingi masaki, plus Zahra & Raha Towers mjini pale, Fida akiona hii anachukua mara moja.
 
HV lini Ezekiel Kamwaga utakuwa na akili unakuja kuwatetea watu walijimilikisha kupita Kia's eti mjane anaishi mle ndani ,siyo sawa hili Kama wamekopa walipe tu hkn jins vinginevyo itauzwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tumshangaee huyo kamwags

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nakusubiri Sasa unekuja Asante mzee wacha nisome sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni 1st class families, hawahitaji kufanya biashara zozote, au kumiliki viwanda, just prime properties, shares, stocks and bonds.
P
First class family zipi hazifanyi biadhara,kenyatta mpk leo wana maviwanda
Hizi familia zenu zinaishi kwa kubweteka kisa majina ya baba zao
Wao wanatafuna tu walichotafuta wazazi wao badala kuongeza
Umeona familia nyingi za vigogo zklivyo porongoka...
Hebu jifunzeni kuhusu " generation wealth "kama wenzenu wadosi ,waarabu
Rosamund aziz ni bolionea lkn watoto,ndg zake wanatafuta ubilionea wao ,hawana time na pesa za mzee wao
First class families zako nyingi unakuta ziko kwenye migogoro ya Mali kifamilia tu
Kila mtu angekuwa anatafuta ungekuta mambo kama hayo yasingetokea,hakuna mtu anayeweza kuachia nyumba obay kiboya boya
Ukiona hivyo ujue hali si shwari kifedha,aise paskali msalimie B.MApalala

Ova
 
Hata hiyo nyumba wainywa tu

Iliuzwa nyumba ya mkono masaki

Nayo ilikuwa usipime,na iliuzwa

Ova
 
Sasa nani alimwambia akakope kwa kutumia hiyo nyumba na pesa za mkopo kapeleka wapi? Tuanze hapo kwanza

Watu wafanye makosa halafu waanze kutafuta huruma

Apambane hana watoto, hana ndugu pesa alikula na nani?
Halafu kwani yeye atakuwa mjane wa kwanza kupigiwa mnada nyumba yake na benki? Kwann ionekane kwa huyu mama ndiyo very special? Hawa viongozi tunawadekeza sana, ndiyo maana wanajiona wako juu ya sheria.
 
King maker akiona hii lazima anunue au yule jamaa Fida Hussein mwenye properties zote hizo nyingi masaki, plus Zahra & Raha Towers mjini pale, Fida akiona hii anachukua mara moja.
Umesahau kunitaja na mm Sexless mwenye baa na madangulo kila kona ya jiji. Nina ukwasi wa kufa mtu
 
Babao alikuwa na watoto wangapi ukiondoa John Rupia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…