Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1404208101.755407.jpgMwonekano wa nyumba kwa nje!ImageUploadedByJamiiForums1404208135.032855.jpgEneo la ndani kwa jiko!ImageUploadedByJamiiForums1404208169.233533.jpgJide mwenyewe akijitanda sehemu ya mapishi!ImageUploadedByJamiiForums1404208230.418330.jpgSehemu ya mapumuziko!
Ney vs Jide nani katokelezea zaidi?
 
Wewe nani kwake?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yule msanii mwenye machata mengi juzi kasema kahamia kwenye house lake la 180m hebu liwekeni kwa ndani lina nini
 
Huyo ndio strong lady anaejitambua luck her
 
Hongera commando umejitahdi na umeweza cio wenzio waabudu watu na hawana lolote keep it up
 
Jide zaidi ya mshiko ana ubunifu au anajua kuwatumia watu wenye ubunifu. Nay naye si haba,
 
kumlinganisha jde na ney sawa na tembo na sisimizi mi team jde damu na anastahiki kabisa kwani jide anatafta sana na ww umri wake kwenye gemuu ila ney nae anastahk pongez kwa alipofikia maana wangapi kawapita.
 
Jide katokelezea kwanza nyumba kahamia muda ila bado inaonejana mpyaa... kweli jide msafi
 
Simu za kichina hizi!!! Yaani eti ka simu kangu kamegoma kufungua picha za JIDE ila za NEY kamefungua.
 
Na mi nije niazime mjengo wa mtu nipigie pich,hivi jaman ni kwa muziki gani wa huyo mnaemwita cjui Neema wa Mitego kaanza kuimba hana hata miaka m4 leo ajenge cjui anunue jumba la mamilioni hayo pesa!!!!
 
Juzi kwenye kipindi chake alionyesha Plot za kufa Mtu , Hongera zake .......Hala Hala G asijekimbia na begi kwenye Bajaji kama Mwenzie:A S 109: ....Nasema tu 😛eace:

Binamu zavi njoo ujionee mambo ya jide uku halafu utuonyeshe na nyumba ya ndomo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom