Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Unatafuta ugomvi na team domo ooohh mwenzio yupo anachart na kina Nelly ,kasahau kumalizia nyumba

Uwiiii binamu niache mwenzio mbavu zangu mbovu halafu napat shida kucheka mbavu jamani

Ndomo yupo na shemeji yake karueche sasa ivi wanakula bata, hayo mambo ya nyumba kawaachia akina jide wenye vipaji vyao, ndomo mwambie kufanya collabo na akina davido na obama apo mtaelewana hayo mengine hana mda nayo

Jide hakuna msanii wa kupambana nae kimshiko, yuko mbali sana kimafanikio, ila mbahili cheusi dawa wetu hatar
 
Binamu zavi njoo ujionee mambo ya jide uku halafu utuonyeshe na nyumba ya ndomo

Nyumba hiyo niliiona miaka 4 iliyopita binamu naona jikoni kaparekebisha, kwa maendeleo yuko vizuri binamu mi Kwa maendeleo mi sikatai ila muziki ajitahidi arudi kama zamani.Almasi yupo busy anachagua apartment ya kununua marekani
soon atatuwekea.Almas mtoto wa Tandare anajenga nyumba anaweka wapangaji aahaha.
Lakini angalia shemeji asije kimbia kwenye bajaji natania tu binamu.
 
Ndomo wa watu anatafuta apartment beverly hills nimeona anaongea na nelly

Yes hata mimi nimependa design mpya ya jikoni ipo kisasa zaidi, ila mi rangi ya hiyo nyumba yake tu haijanifutia na sijui kwa nini habadilishi miaka yote hiyo

Ivi shoga yake ray c na yeye kajenga wapi? Naona mambo yake super kawa kibonge hatar sijui ndo dozi
 
Si nasikia anakaa yeye na mumewe tu hakai hata na housegirl mbahili huyo ,lazima iwe safi
 
Ray C alikuwa ameanza kujenga akaezeka na kuezeka , alivyokosa hela ya sembe akabidi auze ili asiharibu dozi si unajua yale mavitu ukianza kutumia yanakuharibu. kawa kibonge au kaumuka.
 
Nawaza siku gadna atakavotolewa mbio kama emmanuel mbasha si unajua mambo ya kuwekwa mjini na mkeo akipigwa nje tu anakutoa mbio
 
Si nasikia anakaa yeye na mumewe tu hakai hata na housegirl mbahili huyo ,lazima iwe safi

Jide msafi niliona wakat anasafisha choo chake kwenye diary mmh choo kisafi kama hakijatumika na vyumba vyao visafi wenyewe hawataki ma housegirl maana walikuwa wanamuibia madolali yake na kusambaza umbea kwa watu , ila bora mwenyew yupo na familia yake, unajua kuishi na watu ni kero sana umbea mwingi sana
 
Ray C alikuwa ameanza kujenga akaezeka na kuezeka , alivyokosa hela ya sembe akabidi auze ili asiharibu dozi si unajua yale mavitu ukianza kutumia yanakuharibu. kawa kibonge au kaumuka.

Aahhahah umenifuraisha na sijui anajisikiaje kumuona mwenzie waliyeanza nae miaka hiyo kumuacha kimafanikio
 
Nawaza siku gadna atakavotolewa mbio kama emmanuel mbasha si unajua mambo ya kuwekwa mjini na mkeo akipigwa nje tu anakutoa mbio

Jide hawezi yule,kafa kaoza kwa gadna na ukitak ujue u komando wa jide akufume na gadner
 
Juzi kwenye kipindi chake alionyesha Plot za kufa Mtu , Hongera zake .......Hala Hala G asijekimbia na begi kwenye Bajaji kama Mwenzie:A S 109: ....Nasema tu 😛eace:

hahahaaaaaa!nimecheka sana aiseee
 
subirini mjengo wa dai uishe ndo mtakoma, kimya kingi kina mshindo,
 
si ndo tunavyotaka sio kutuletea hashuo za dafu tu!maana huyo dimond km anajenga mbingu!
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Ndomo wa watu anatafuta apartment beverly hills nimeona anaongea na nelly

Yes hata mimi nimependa design mpya ya jikoni ipo kisasa zaidi, ila mi rangi ya hiyo nyumba yake tu haijanifutia na sijui kwa nini habadilishi miaka yote hiyo

Ivi shoga yake ray c na yeye kajenga wapi? Naona mambo yake super kawa kibonge hatar sijui ndo dozi

Yaan ananunua nyumba huko marekani au utani huuuu sio mzuriii loooo binamu niambie kwa hiliiii za huku tu zimemshinda ataweza bill za hukooo
 
Yaan ananunua nyumba huko marekani au utani huuuu sio mzuriii loooo binamu niambie kwa hiliiii za huku tu zimemshinda ataweza bill za hukooo

Apange wapi na wewe? yupo busy sasa ivi anapiga picha na shemeji yake kerrueche
 
Pic Inayoonesha Kwa Ndani Ni Apartment Aliyoipanga Akiwa Nje Ya Nchi Miaka Michache Iliyopita,Alipost Hizo Pics Kwenye Blog Yake.....pic Inayoonesha .Kwa Nje Ni Nyumba Yake Mwenyewe....
 
Back
Top Bottom