qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Wote wanaweza kuwa na matatizo ya uzazi ila matatizo yao yakawa yanatofautiana, jide aliwahi kupandikiza (artificial insemination) kama sijakosea miaka ya nyuma na kubahatika kupata ujauzito ambao unasemekana ulitoka kutokana na mambo ya hali ya hewa
Na wakati akiongelea mambo ya uzazi, alikuwa na magese na mama mmoja mjamzito, waka share experience pale na kuwa influence wanawake wenye matatizo ya uzazi wajitokeze wasisikie aibu kwani huenda matatizo yao yakatibika, kuna foundation anaiendesha millen kuhus mambo ya uzazi so nadhan wakishirikiana na jide kwa kuwa wote wapo strong financially na wana ushawishi mkubwa kwa pamoja nadhani watafanikiwa
UKIMSAIDIA MWANAMKE, UMESAIDIA JAMII NZIMA.
Yeah hiyo ya Magesse kuhusu foundation yake niko familiar nayo... walikuwa wanahojiwa station gani