Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Wote wanaweza kuwa na matatizo ya uzazi ila matatizo yao yakawa yanatofautiana, jide aliwahi kupandikiza (artificial insemination) kama sijakosea miaka ya nyuma na kubahatika kupata ujauzito ambao unasemekana ulitoka kutokana na mambo ya hali ya hewa

Na wakati akiongelea mambo ya uzazi, alikuwa na magese na mama mmoja mjamzito, waka share experience pale na kuwa influence wanawake wenye matatizo ya uzazi wajitokeze wasisikie aibu kwani huenda matatizo yao yakatibika, kuna foundation anaiendesha millen kuhus mambo ya uzazi so nadhan wakishirikiana na jide kwa kuwa wote wapo strong financially na wana ushawishi mkubwa kwa pamoja nadhani watafanikiwa

UKIMSAIDIA MWANAMKE, UMESAIDIA JAMII NZIMA.

Yeah hiyo ya Magesse kuhusu foundation yake niko familiar nayo... walikuwa wanahojiwa station gani
 
Yeah hiyo ya Magesse kuhusu foundation yake niko familiar nayo... walikuwa wanahojiwa station gani

Jide Alimualika magese kwenye kipindi chake cha diary na kumpa nafasi aielezee foundation yake hiyo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wenye matatizo ya uzazi, nilipenda walivyo mualika pia mama mjamzito, sikujua kwa nini but niliipenda ile style.
 
Ndomo wa watu anatafuta apartment beverly hills nimeona anaongea na nelly

Yes hata mimi nimependa design mpya ya jikoni ipo kisasa zaidi, ila mi rangi ya hiyo nyumba yake tu haijanifutia na sijui kwa nini habadilishi miaka yote hiyo

Ivi shoga yake ray c na yeye kajenga wapi? Naona mambo yake super kawa kibonge hatar sijui ndo dozi

haha ray c ajenge wapi tunakaa nae huku mitaa yetu kapanga kajumba ka ajabu hako...

kutwa kutusumbua na Noah yake maana akianza kutoka mnajua bidada huyooo anatoks
 
haha ray c ajenge wapi tunakaa nae huku mitaa yetu kapanga kajumba ka ajabu hako...

kutwa kutusumbua na Noah yake maana akianza kutoka mnajua bidada huyooo anatoks

Chinekeee, This is abomination oooh, May God forbid it ooh, wonders shall never end in this land, i have heard a rumor/Gossip long a go that ray c bought a very expensive car that no any other celebrity in Tz have, i thought it was lamboghin whatever they spell it or buggati and now you are telling me she is driving Toyota Noah? , For this my cuzo, i think she deserves those insults and humiliation from T.I.D
 
hongera yake jd anajitambua namkubali kitambo komando
 
Hata mimi i thought of the same thing, ila jide alikuwa anaelezea maumivu anayoyapataga wakati wa hedhi, so nadhan she goes menstrual cycle

Matatizo ya uzazi yapo ya aina nyingi, hata kwa upande wa sisi wanaume unakuta mwanaume anadinda vizur na mchezo ana uweza sana tu mpaka demu akapagawa ila anaweza kuwa na low sperm count au anaweza kuwa na pre mature ejaculation au inflamation au mwanaume anaweza akawa ana mbegu zake nzur tu zenye nguvu ila hakawa hadindishi, so matatizo ya uzazi yapo ya aina nyingi tu, na sio kila mwanaume anayedindisha basi ana uwezo wa kuzaa ,sio kweli ndo kama wewe unavyodhan wewe kuwa kila mwanamke anayepat hedhi bas anaweza kuzaa, matatizo yapo mengi sana

Umeongea Vizuri Sana...
 
Chinekeee, This is abomination oooh, May God forbid it ooh, wonders shall never end in this land, i have heard a rumor/Gossip long a go that ray c bought a very expensive car that no any other celebrity in Tz have, i thought it was lamboghin whatever they spell it or buggati and now you are telling me she is driving Toyota Noah? , For this my cuzo, i think she deserves those insults and humiliation from T.I.D

binamu naona mshtuko umekuwa mkubwa hadi una flow kiinglish tu

zamani alikua anatumia crester ndio baadae akaanza kuendesha hiyo Noah
 
binamu naona mshtuko umekuwa mkubwa hadi una flow kiinglish tu

zamani alikua anatumia crester ndio baadae akaanza kuendesha hiyo Noah

Hiyo cresta nyeupe nilikuwa namuona nayo sana mitaa ya bunju kipindi flani, niliona ali post nyumba ivi juzi juzi tu baada ya kupata dozi alikuwa anadai anaijenga na ilikuwa nzur kwenye picha alikuwa ndo anamalizia rangi, sasa unavyoniambia tena kapanga, nyie hawa wasanii wanaotumia bhang c wa kuwaamin hat
 
hahaa full honi halafu kuna kamlima huwa hawezi kupandisha pale
ko mkisikia kwichu kwichu unajua Rehema huyo anatoka
na akianza kuita dada aje amfungie geti balaa

Binamu na wewe siku izi balaa dah, umenichekesha sana eti ukisikia kwichu kwichu ujue rehema kawasili aah dah, yan nazipata mbona izo yani mtu utakuta akirud tu anataka mtaa mzima wajue kaingia na hiyo mihoni sasa na unakuta mda mwingine mtu wa kufungua geti yupo getini ila basi tu watu mbwe mbwe, basi huyo rehema simpatii picha na huo mwili wake wa simba anavyopiga makerere mabeki tatu wanakimbiaje? Mmh nyie rehema huyu
 
Maji kwake ya shida nini naona ukoka haujatoka fresh?
 
Back
Top Bottom