Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

Yaan ananunua nyumba huko marekani au utani huuuu sio mzuriii loooo binamu niambie kwa hiliiii za huku tu zimemshinda ataweza bill za hukooo

Hahaaa dina weee mwenzio ana bilioni moja kwenye account yake
 
Mimi nataka ya Wema bwana, ila iwe ya ukweli-kweli, sio changa la macho kama siku zile.
 
Mbona nyumba ya kawaida sana. Dah wabongo ushabiki wa kijinga.

The king.
 
kimya kingi kina ....... ki2 hadi swimming..!! coming soon! ndomo ana balaaa!!!!

Balaa unalo wewe kusifia vitu ambavyo havionekani, si tunaongelea vitu ambavyo vipo na vinaonekana, huyo boss wako hana nyimbo anaishi sinza mori tena kwenye vyumba viwili
 
Pic Inayoonesha Kwa Ndani Ni Apartment Aliyoipanga Akiwa Nje Ya Nchi Miaka Michache Iliyopita,Alipost Hizo Pics Kwenye Blog Yake.....pic Inayoonesha .Kwa Nje Ni Nyumba Yake Mwenyewe....

Kwa hiyo katupiga changa la macho? Ntakasi
 
Last edited by a moderator:
alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miezi miwili? unajuwa classmates wake wana wajukuu?

Ana miaka 35, ivi miaka na yenyewe ni ya kuikimbia? Wazazi wetu wana miaka mingapi? Kama sio hamsin na kuendelea sasa cha ajabu nini
 
Nami nimeshangaa anaweza kua hata na 38 kazamani hakoo

We umepatia, Jide ni kuanzia 38 tena mi nahisa 40 zaidi ,maana Jide ana miaka 13 kwenze na kabla ya hapo alikuwa mtangazaji clouds ni umri wa kina Vic Kamata sema ana mbegu ya kizaramu haikui
 
We umepatia, Jide ni kuanzia 38 tena mi nahisa 40 zaidi ,maana Jide ana miaka 13 kwenze na kabla ya hapo alikuwa mtangazaji clouds ni umri wa kina Vic Kamata sema ana mbegu ya kizaramu haikui

Jaman ata akiwa na miaka 50 kwani cha ajabu nini? Si ni miaka jaman, mumuache bhana jide wa watu, mbona akina madonna na jlo wameenda age na bado wanadunda? Acheni hizo bhana
 
Jaman ata akiwa na miaka 50 kwani cha ajabu nini? Si ni miaka jaman, mumuache bhana jide wa watu, mbona akina madonna na jlo wameenda age na bado wanadunda? Acheni hizo bhana

binamu unampenda sana jide
 
binamu unampenda sana jide

Nampenda sana yani ndo ugonjwa wangu jide, namkubali kwa sababu anajielewa na sio kahaba aishi kwa kutegemea ma bwana na hanaga mda na mtu zaidi ya kutafuta pesa, ana mafanikio na hatujawah kumsikia akijigamba ovyo kuwa ana pesa, anajiheshimu sana
 
Back
Top Bottom