Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sijui mke na watoto wako wapi. Lakini nyumba ni yao na wameamua kuigeuza kuwa shule.Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je, ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?
Huu ni uongo wity namjua vizuri kuanzia mama yake hadi baba yake sio Oscar unaemzungumzia wewe acha kuchafua watu braza. Nimeshangaa sana huyu kambona wa mika ya 60 anakuwaje na binti wa mwaka 98?? Ni fixOscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa Kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Uyo binti anaemzungumzia ni wa mwaka 98 sio yeye ni majina ya mzazi ndio yamefanana.Ukiangalia taarifa zake mtandaoni wanasema alikimbia kwenda London mwaka 1967 na mke na watoto wake wawili
Hii yako sio sahihi uliemtaja namjua in and out.Mtandaoni wakati mwingine muandishi anaweka yale anayoyajua tu. Je huko mtandaoni kuna taarifa kuwa watoto wake walirudi Tanzania au la? Kuna taarifa wako wapi kwa sasa?
siyo kweli. binti wa kambona ni journalist by profession her name is neema kambona na miaka ya katikati ya 2000 alikuwa anafanya kazi ubalozi wa EU.Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa Kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Hebu taja hapa majina yake matatu huyo Wity unayemjua? Mie namfahamu Witness Oscar Kambona ambaye ni askari magereza gereza la Karanga Moshi. Huyo unayemjua wewe utajua mwenyewe.Huu ni uongo wity namjua vizuri kuanzia mama yake hadi baba yake sio Oscar unaemzungumzia wewe acha kuchafua watu braza. Nimeshangaa sana huyu kambona wa mika ya 60 anakuwaje na binti wa mwaka 98?? Ni fix
Alikuwa na mtoto mmoja tu?siyo kweli. binti wa kambona ni journalist by profession her name is neema kambona na miaka ya katikati ya 2000 alikuwa anafanya kazi ubalozi wa EU.
Alikuwa na wawili. Neema na kaka yake. Wa kiume alifariki wakiwa uingereza, akabaki neema peke yakeAlikuwa na mtoto mmoja tu?
SawaAlikuwa na wawili. Neema na kaka yake. Wa kiume alifariki wakiwa uingereza, akabaki neema peke yake
Picha baaaassssiWazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je, ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?
Uko sawa kabisa alikuja kuolewa na jamaa mmoja Director wa NIT,jamaa akamshindwa akasepa demu Tz na alimzalisha mtoto mmojasiyo kweli. binti wa kambona ni journalist by profession her name is neema kambona na miaka ya katikati ya 2000 alikuwa anafanya kazi ubalozi wa EU.
Tanzania ndio nchi pekee tunayopelelezana hadi mambo ya chumbani majirani wayajueSasa kama familia wameamua kuwapangisha feza au kuwauzia, hiyo "it's there business mzee"
Ova
Ohh walishamwagana na yule jamaa? jamaa alikuwa mpole sana asingemuweza. binti ilikuwa akinywa anavurugika kabisa. Na pia neema ana exposure kubwa sana na ile kuwa british ni shida sanaUko sawa kabisa alikuja kuolewa na jamaa mmoja Director wa NIT,jamaa akamshindwa akasepa demu Tz na alimzalisha mtoto mmoja
Leo hii wako wapi hao wakufurahishwa?Lugha ya hili gazeti mbona ilikuwa kali sana? Yote hayo ni kwa ajili ya kuwafurahisha Nyerere(kuhusu Kambona) na Karume (kuhusu Kassim Hanga)?
Safi sana mwelekeze huyu...Huu ni uongo, ndoa ya Oscar na Morio ilifanyikia London na msamizi alikuwa JK Nyerere.
Hilo ni gazeti la Ngurumo. Kama muonavyo ipo habari ambapo Mwalimu alimuita Kassim Hanga kwamba ni mpumbavu. Alimrejesha Visiwani akiamini kwamba atapata hukumu ya haki kwa matendo aliyoyafanya. Kinyume chake Hanga pamoja na wenzake walinyongwa, na hili kidogo lilimstua Mwalimu.
Kwa tuliokuwepo kipindi hicho na kusikiliza katika redio, hayo maneno ndiyo yaliyotamkwa na wala si lugha ya gazeti lenyewe. Tukiwa mashuleni tukaimbishwa hata nyimbo zenye maneno hayo hayo.Lugha ya hili gazeti mbona ilikuwa kali sana? Yote hayo ni kwa ajili ya kuwafurahisha Nyerere(kuhusu Kambona) na Karume (kuhusu Kassim Hanga)?