Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

Kwa msiolijua, Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mjomba wake Oscar Kambona na ndiye aliyesimamia harusi yake Kambona, wote asili yao Wanyasa. Enzi hizo miaka ya sitini kila mwanaume na mwanamke alipenda afanane muonekano wa Oscar Kambona, the guy was extremely smart.
 
Bifu ya JKN na Kambona ni ya ideology.
Na walitifuana kweli mpaka akasepa.
Its possible mali zake wakazichukua
 
Ninadhani wangekaa chini na kukubaliana tuwe na socialism kwenye huduma za jamii lakini waruhusu wawekezaji wawekeze na kuzalisha ajira ili kuwa na watu wengi wanaolipa kodi tungekuwa mbali.

Hili ndilo wanalifanya nchi za Ulaya hasa Scandinavia na Uingereza. Ninaamini kila mtu kati yao alikuwa na mawazo na nia nzuri.
 
Kambona hakuwahi kuwa waziri wa fedha, hivyo asingeweza kuhongwa ila alishinda bahati nasibu Uingereza iliyomuwezesha kupata pesa.
 
Kambona hakuwahi kuwa waziri wa fedha, hivyo asingeweza kuhongwa ila alishinda bahati nasibu Uingereza iliyomuwezesha kupata pesa.
Kabla ya kwenda Uingereza akiwa bado hapa, alipewa pesa kwa influence aliyokuwa nayo ndani ya utawala pia alikuwa mjenga hoja mzuri sana. Aliwakoga sana Waingereza pia alikuwa na Kiingereza kizuri sana.
 
Kabla way kwenda Uingereza akiwa bado hapa, alipewa pesa kwa influence aliyokuwa nayo ndani ya utawala pia alikuwa mjenga hoja mzuri sana. Aliwakoga sana Waingereza pia alikua na Kiingereza kizuri sana.
Wacha wee
 
Unatoka kijiji gani?
Ukirudi kijijini kwenu huwa unapotea njia?
Tambua mawazo ya kujenga vijiji ni Nyerere mwenyewe. Mawazo hai, bado yanaishi na utayaacha yakiboreshwa.
Ujamaa kama ilivyo via Tamu, watu watafanya biashara na watakopeshana kwa mtindo wa kijamaa (vikoba)
 
Huu ni uongo, ndoa ya Oscar na Morio ilifanyikia London na msamizi alikuwa JK Nyerere.
 
Bifu ya JKN na Kambona ni ya ideology.
N awalitifuana kweli mpaka akasepa.
Its possible mali zake wakazichukua
Historia imejirudia kwa Samia na Ndugai.

Ndugai asijekimbilia tu naye ughaibuni.
 
Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analiowa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Huyo labda atakuwa mtoto wa mdogo ake Kambona. Kambona alikimbia nchi na familia yake tena probably watoto wengine alizalia Ulaya.
 
Kambona hakuwahi kuwa waziri wa fedha, hivyo asingeweza kuhongwa ila alishinda bahati nasibu Uingereza iliyomuwezesha kupata pesa.
Alikuwa waziri wa mambo ya nje 1963-66
1967 ndio alikimbilia London
 
Kwa matawi yote ya Feza Tanzania hakuna hata tawi moja walilokodi yote ni ya kwao kwa kujenga au kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…