Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Sawa kabisa mkuu!
 
Fafanua maelezo yako ili ueleweke.
Kumbe ni collective reponsibility alafu kuna mtu mmoja anabebeshwa zigo! Askari anatakiwa atekeleze amri halali. Hawezi akaamrishwa piga risasi watu wanacheza karata kibazani hawana kosa lolote
Alafu akafyatua risasi.
 
Sasa Sumaye alaumiwe Kwa kipi wakati mmesema ni uamuzi wa baraza na mwenyekiti wao alikuwa Mkapa
 
Kama muasisi wa hili zoezi alimua kufukua makaburi waziri nae angeanzia huko kama kweli ana nia ya kweli
 
Omba sana Mungu akupe akili japo kidogo. Anayeweza kuandika hiki ulichoandika hapa ni mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah ndio maana Mungu katuumba kila mtu na mawazo na akili yake.. tatizo lako unadhani kila mtu anafikiri kama unavyofikiri wewe...inawezekanaje hii.imposibo.jomba.
 
Sasa Sumaye alaumiwe Kwa kipi wakati mmesema ni uamuzi wa baraza na mwenyekiti wao alikuwa Mkapa
Pia soma katiba vizuri. Mwenyekiti wa baraza la mawaziri anaweza kuwa Rais, makamu wa Rais au Waziri mkuu. Ibara ya 54 (2) ya katiba ya JMT. Waziri mkuu ndio msimamizi mkuu wa shughuli zote za kila siku za serikali. Kama kuna mtu alikuwa anatekeleza madudu alipaswa kumzuia
 
Eti alipaswa kumzuia nyoko unaweza kumzuia mtu usiyemteua?
 
Kwa hiyo wakati WA hicho kikao Sumaye ndiyo alikuwa mwenyekiti?
 
Na kumuuzia hawara na ndugu yake ilikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri?
Ok hata kama hawara, unataka kusema hawara hana haki ya kununua.. au unavyoona neno hawara halina haki ya kupata nyumba kwani inayonunua ni neno hawara au majina kamili ya mtu.. hahahah na huyo ndugu yake unayemsema kwani sio Mtanzania, nini kitamnyima haki yake ya kununua kama uwezo anao...sijui huwa mnawaza kwa kutumia matakoo au shingo ya kizazi..mpaka tunatoa lugha mbaya sababu yenu...hamna akili kabisa...
 
Pumbavu, hawara na ndugu yake hawakuwa watumishi wa Umma! Nyumba zilipaswa kuuzwa kwa watumishi wa umma! Ndugu wa Jiwe alikuwa mwanafunzi wa chuo na akajipatia nyumba! Hawara hakuwa na ajira serikalini na akajipatia nyumba, shubaamiti kenge!
 
Pumbav,hawara na ndugu yake hawakuwa watumishi wa Umma!Nyumba zilipaswa kuuzwa kwa watumishi wa umma!Ndugu wa Jiwe alikuwa mwanafunzi wa chuo na akajipatia nyumba!Hawara hakuwa na ajira serikalini na akajipatia nyumba,shubaamiti kenge!
hehehehe embu tuletee ushahidi hapa , acheni propaganda za uzushi jomba..mtafungwa kwa uongo,, sheria za mtandao zinakuhusu wewe...tuletee na ripoti ya CAG iliyobaini hayo unayosema
 
hehehehe embu tuletee ushahidi hapa , acheni propaganda za uzushi jomba..mtafungwa kwa uongo,, sheria za mtandao zinakuhusu wewe...tuletee na ripoti ya CAG iliyobaini hayo unayosema
Watoto wa juzi mnatuletea shida sana humu jukwaani! Ungekuwa mdau wa tokea JF inaitwa Jambo forum hili lisingekuwa geni kwako!Tafuta uzi wa miaka hiyo,uzi huo umeshiba ukiwa na nakala ya gazeti lililokuwa la kwanza kureport uchafu huo!Sina muda wa kukutafutia,pambana uupate uongeze maarifa!
 
..muasisi wa ufisadi wa kuuza nyumba za serikali ni Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.

Is that how it works, to have a minister who makes a decision like that on his own?
Nafikiri anayebeba huo mzigo ni Rais wa wakati ule na baraza lake la mawaziri
 
Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu.
P
Paskali umesema vyema sana.
Ni sawa na EL akiwa waziri wa maji alipotamka kutotambua mkataba kati ya Egypt na Uingereza kwenye matumizi ys Lake Victoria; EL hakufanya personally. Ilikuwa ni cabinet decision ila he had to decide as a sectoral minister.

By the way, huenda JPM aliwa-favor few individuals kama Waziri wa kisekta; ila mbona wanamtandao walipeana deals nyingi kama sio biashara kazi serikalini; huo nao ni ubinadamu wetu sisi hawa hawa Watanzania.

Kuna wakati watoto wa wanene walipata kazi BoT kwa vyeti vya form 4. Wakati ajira zikiwa ngumu hata kwa watu wa University back then; watoto wakina fulani walilamba kazi BoT na sio za ulinzi au umesenja. Uafisa.

Tumesahau Dau akiwa boss wa NSSF; ajira zilitoka kwa kuzingatia imani ya dini fulani. Ni Tanzania hii hii.

Hivyo basi; kwa nyumba 2 kati ya nyumba zote kama watu 2 wa karibu na JPM by then; huo ni ubinadamu ambao juzi juzi tuliona mtu kapost kumshangaa Tajiri mmoja hapa bongo alifanya "bethdei" na hapakuwa na ngozi nyeusi kwenye palau lile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…