Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Magufuli hakuuza nyumba, nyumba ziliuzwa kwa maamuzi ya Mkapa, jambo hili Sumaye alilitolea ufafanuzi video nyingi tumeweka humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana limebumbuluka nadhani aliyepaswa kuinunua hakufanikiwa ameingia gere. Hahaaaa maccm na maviongozi yote majizi

Kanuni ni moja tu huwezi kuipenda ccm kama huna maslahi nayo , utakuwa ni mpumbavu usiye na akili. Ccm haifai
Waziri na upande mwingine wa serikali wanataka kutuaminisha kuwa hawakufahamu mipango na uuzwaji na bei iliyofikiwa.
 
Kwani wewe mbona unajifanya hujui hali tunajua kuwa unajua.Au na wewe unatafuta kick ya kufikishwa mahali.Hili halina mjadala Watanzania woooote wanajua hili vizuri jinsi walivyopeana wenyewe kwa wenyewe kwa bei ya njugu tena majumba yenyewe ya Serikali yenye maviwanja makuuuuubwa kupindukia.Leo ndo Waziri anafunguka macho.Wachunguzwe kwanza hao waliouza hizo nyumba kipindi cha nyumba warudishe.

Swala hili watumishi wengi waliokuwa serikali wao wanajua zaidi sana kwani wanasema nyingi ni kama walipewa bure bin buuuure.Hali kadhalka,walipeana tena buuuure, magari ya Serikali.

We acha tu.Nchi hii.kuna mambo.
Kick ya kunifikisha mahali ? Wapi? Unajua unacho kijibu? Kuhusu nyumba kuuzwa iwe ni bei chee au kubwa hilo linajulikana. Tena kwa taarifa yako sababu kubwa ambayo ilitajwa na serikali ilikuwa ni kuwa zimechakaa sababu zilijengwa kipindi cha ukoloni. Mimi hoja ni kuwa wewe unadai kuwa walipeana nyumba na Magari. Ukipelekwa mahakamani ukatoe ushahidi. Unaweza kuthibitisha namna walivyopeana na hizo nyumba walizopeana ziko wapi? Maana si walitumia vibaya madaraka. Leo hii ukiwambele ya mahakama unaweza kusema X alipewa nyumba B iliyopo Oysterbay. Na alipewa Vx D amabalo lipo mahala fulani.
Hiyo bei bwerere ni kiasi gani? Unavyothibitisho?
 
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.

Kwahiyo bora tuendelee kuharibu?
 
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari
Vipi kuhusu zilizogawiwa hawara na mdogo wake "jiwe"enzi zile? Haki sawa kwa wote.
 
waliompiga TLissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zai zinafananaje basi..amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei..wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa.wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba
Hayo ni moja ya maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na wenye mamlaka. Kuyatetea ni kujipambanua kuwa ni wa hovyo pia kama walioyafanya! Swali: "Wewe ni wa hovyo kihivyo?"
 
Muulize aliyekuwa waziri mkuu Sumaye na Lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Report ya CAG ilimtaja Magufuli. Wewe unatuambia Sumaye na Lowassa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu.
P
Hakika!
 

CAG hakumtaja Sumaye
Ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri.sio wa mtu mmoja(JPM) waziri mkuu alikuwa Sumae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nipate ukweli. Sitetei mtu.

Ukweli huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom