Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Wakati ule boss wa Magufuli alikuwa Sumaye ambae kidogo mumpe madaraka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari
Wanajishaua tu kwani huko Tiss hawapo?? Hawakuona na kuzuia hilo?? Wanataka ujiko tu kwa wananchi.
 
Hapo itakuwa walinunua wasiohitajika, nchi za Afrika tuna matatizo sana
Ndio maana limebumbuluka nadhani aliyepaswa kuinunua hakufanikiwa ameingia gere. Hahaaaa maccm na maviongozi yote majizi

Kanuni ni moja tu huwezi kuipenda ccm kama huna maslahi nayo, utakuwa ni mpumbavu usiye na akili. CCM haifai
 
Nyumba za obay Vp?? Nazo zitashuguliwa au ndiyo mupe muruke

Ova
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.

Source: ITV Habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Lukuvi inaonekana ndiye Waziri pekee anaemuelewa Rais. Anafanya maamuzi magumu lakini sahihi kulinganisha na wengine wasio na maamuzi, wanaomletea Rais lawama kutoka kwa wananchi. Mfano ni huyo anaehusika na usajili wa line za simu kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukuvi ni mfano wa kuigwa katika baraza la mawaziri
 
Mh. Lukuvi inaonekana ndiye Waziri pekee anaemuelewa Rais. Anafanya maamuzi magumu lakini sahihi kulinganisha na wengine wasio na maamuzi, wanaomletea Rais lawama kutoka kwa wananchi. Mfano ni huyo anaehusika na usajili wa line za simu kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jizi la kutupa kule Dodoma limejifanya kuuza magodown lililo ya nyakuwa likiwa katika bodi ya CDA na maviwanja lukuki ipo siku atulie hakuna siri chini ya jua
 
Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
Kwani wewe mbona unajifanya hujui hali tunajua kuwa unajua. Au na wewe unatafuta kick ya kufikishwa mahali. Hili halina mjadala Watanzania woooote wanajua hili vizuri jinsi walivyopeana wenyewe kwa wenyewe kwa bei ya njugu tena majumba yenyewe ya Serikali yenye maviwanja makuuuuubwa kupindukia. Leo ndo waziri anafunguka macho. Wachunguzwe kwanza hao waliouza hizo nyumba kipindi cha nyuma warudishe.

Swala hili watumishi wengi waliokuwa serikali wao wanajua zaidi sana kwani wanasema nyingi ni kama walipewa bure bin buuuure.Hali kadhalka, walipeana tena buuuure, magari ya Serikali.

We acha tu.Nchi hii.kuna mambo.
 
..Waziri mhusika alikuwa Magufuli.

..Huyo ndiye Waziri anayewajibika moja kwa moja na ufisadi wa kuuza nyumba za serikali.
Linapokuja suala la uwajibikaji kwenye utekelezaji wa maamuzi yoyote ya baraza la mawaziri, then uamuzi huo unatumia kanuni ya a collective responsibility, hapa Magufuli alikuwa ni mtekelezaji tuu na alitimiza wajibu wake kikamilifu.
P
 
Unaniangusha ndugu yangu, uzee unakuingia vibaya, katika any collective action lazima mmoja awepo kuwa muhusika haswaaa!!!
Mfano katika harakati za uhuru harakati zilikua za wengi lakini Nyerere ndo icon!!!

Hata maamuzi yafanywe na baraza la mawaziri jambo likiharibika waziri uwajibikaji ni wa waziri wa wizara husika

Kwa hyo unataka baraza lote la mawaziri kipindi kile wawajibike???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom